Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

Kuna mtu humu nilimwambia corona pia Ina faida zake.
Akaniona KICHAA..
Nafikiri mungu ameamua kuipumzisha dunia yake.fujo zilizidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishawaza labda viongozi wameamua kutuzuga na hii corona ili dunia ipumue kidogo. Sababu kuna cases za watu kufariki na magonjwa mengine afu wanasingiziwa wamefariki na corona.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mandhari ya Nairobi yawa safi ,hivyo basi milima yote ya Mt.Kenya na Kilimanjaro yaonekana vyema
 
Mlima Meri sio mkubwa vile, maana hata hafikii mlima eligon ambao upo magharibi mwa kenya kwa hivyo huwezi ukaonekana ukiwa Nairobi maana hata Kama upo Moshi sidhani Kama utaonekana vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
At 4566m mt Meru is taller than Mt Elgon's Wagaigai peak at 4321m in Uganda mind u only the shorter Koitobos peak at 4222m is in Kenya! As 3/4 of Mt Elgon falls in Uganda u can't claim is in Kenya. BTW though Mt Meru is shorter than Mt Kenya, get more tourists than Mt Kenya!
 
I haven't claimed that eligon is entirely in Kenya,I know it's shared between two countries and it's always visible early morning. Ukiwa mkoa wa magharibi unauona tu, about the tourist I don't know because am not an employee of the kenya tourism board.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you been through primary school and you still ask this type of question then there's something wrong with your education system.
Look at your biased stupid ass, why would u thnk de problem is our edu system and not me.
Hukumsikia mtoto wa raila anasema olduvai gorge ipo kenya.
Is something right with your education system.
I never paid attention abt the second tallest the moment i knew mt kilimanjaro was the tallest.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…