Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

I have not posted pictures of Kilimanjaro. So mbona unanitusi?
 
Nionyeshe ni wapi nimepost picha ya mlima kilimanjaro?
 
Sii kila kitu ni ushindani bradhee.

PS.
The highest point of Mt. Elgon in Kenya is Sudek peak at 4302m.
 
How? do those peaks look the same? hapana! Mt Kenya looks like Mawenzi peak or Shira peak









But Nothing like the jewelry in the apple see this πŸ‘‡





Man, why are you so bitter with life? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ease up bruh.🀣
 
Wakenya wanateseka mno hawa watu mara utasikia diamond ni mkenya, samata anatoka kenya, daraja la kigamboni ni la kenya,kilimanjaro ni ya kenya Na leo hii wanakuja na editing ya Kilimanjaro.
Please Kenyans it's enough now
 
Did you understand my exact point? You may view the mountain by other gears closer but you can't have that naked close view as posted earlier

It's not feeling catchment but it's geographically impossible, stop acting idiots.
Wee see it by the naked eye, thats a fact, no wonder i said without any cloud cover

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kitu tunachostahili kufanya ni kupiga picha kama hii lakini ya mount Kilimanjaro na kutuma picha hiyo kwa wazungu na kuwaambia waje Kenya kutazama Mount Kilimanjaro na mount Kenya kwa pamoja. πŸ˜‰πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Sisi hatutaki watazamaji tunataka wapandaji, hivi hiyo mount kenya ipo mkoa gani huko 254? Halafu ukiwa nai unaweza ona mount kili?
 
Yes, Mt. Kenya is the second highest mountain in Africa. View of Mt. Kenya from Parklands, Nairobi. As planet Earth takes a deep breather from its worst enemy, man.
Hii sio kili kweli? Embu angalia post#24
 
aiseee haka kamlima kanapendeza sn toka nairobeee....view point anapiga hela kinyama!πŸ˜‚
 
Thank you for clarifying that it's you that's stupid, not your education system. How's you Mr. Stupid?
Wewe huna akili, jamaa kajieleza vizuri always anaepata ni wakwanza tu ndio maana jamaa hakujali wapili ni nani kwakuwa yeye kashapata,
 
Kumbe ni kweli mlima kilimanjaro upo Kenya......Tuwaachie mbona sisi watz tuna raslimali lukuli zingine tunahamishai burigi huko.....
KIZURI KULA NA NDUGU YAKO
 
Kumbe ni kweli mlima kilimanjaro upo Kenya......Tuwaachie mbona sisi watz tuna raslimali lukuli zingine tunahamishai burigi huko.....
KIZURI KULA NA NDUGU YAKO
Kilimanjaro ni yenu. Hatuitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…