Mount Kilimanjaro or Mombasa port?

YOLO....na matunda ya hiyo choice hautakuja kuyaona ..not in this lifetime
 
YOLO....na matunda ya hiyo choice hautakuja kuyaona ..not in this lifetime
Na hilo ndo tatizo lako ..kuwa na mawazo ya kufanya mambo kwa ajili ya wengine,si lazima matunda wewe uyafaidi,hapo ndipo wenzetu wa ulaya na baadhi ya nchi za Amerika na asia wanapotupiga gape

Afrika bwana tuna safari ndefu. .yaani kati ya mlima Kilimanjaro na bandari,ungechagua bandari,na huku una fukwe za kutosha!!!!😃😃😃😃
 
Watalii zaidi ya 2million huwa wanaingia Kenya kila mwaka, hebu tupe idadi ya watalii ambao wanazuru Tz ili tujue kama wewe pia ni robot.
Don’t worry, I’ll make it easier for you,

Switzerland with a population of 8.5m has a GDP of $700bn (10times Kenya’s Economy)

Kenya with a population of almost 50m (7folds more) has a GDP of like $60-70bn not very sure,
Now who do you think will have better and quality life?
Lesson: Only mad men talk of quantities.
 
Mlima kwa sasa hatuna haja nao maana tunapiga hela tukiutumia kwa kuutangaza watalii wanakuja pale Amboseli na kuuona, ila bandari ya Mombasa na baba kubwa ukanda wote huu, Dar hata haifikii nusu yake, walijaribu kuibuka na Bagamoyo wakaangukia pua.
Subiri tukamilishe Lamu tufunike kila kitu.
 

Lamu ni tembo mkubwa mweupe, hasa ukizingatia lile ni eneo masikini sana hakuna hata barabara wala reli, wenyeji wa lamu husafiri kwa punda, ukiongeza na issue ya usalama ukizingatia al shabaab huvinjari pale na kujinafasi watakavyo kwa kutumia mwanya wa uwezo mdogo wa kdf.
 

Lamu inahitaji great thinker kuelewa sio nyie msioshirikisha akili kwenye kutafakari haya mambo, kuna yule mbunge wenu Zito Kabwe, aliwahi kuitolea maelezo Lamu tena kwa lugha nyepesi, sema kwa mlivyoghubikwa na UCCM mwingi mkaishia kumtukana.
Lamu pale tumefunga bao la kufa mtu, yaani ndio bao lenyewe.
Zitto Kabwe ni akili kubwa sana jamaa, utadhani ni Mkenya, huwa nasoma analysis zake za kiuchumi, huwa nashangaa kwanini mumeshindwa kumtolea nje kwa marisasi kama mlivyomfanya Lissu, au kwa vile katokea Kigoma anajua alivyojilinda.
Soma hii analysis yake nyingine japo mumemtukana hadi basi, tatizo lenu hamjui kubisha kwa hoja, hata wasomi wenu hawakai dakika mbili wabishane kwa hoja bila kutririka matusi

 

Kwa hiyo hiyo containers mtabeba kwa Punda?
Forget about transshipment bussines
 
hakuna bora, unaweza ukawapa vyote mlima na bandari na bado ukawa na uchumi mkubwa kuliko wao! the problem inaanzia pale wananchi wanapoweka utegemezi katika sources za serikali kwamba lazima iwasukume kiuchumi: Rwanda hawana kimoja wapo apo, uganda hawana kimoja wapo apo lakini ukiongelea heavy ecomomies zinazokuja kwa kasi tz tunakaa pemben


and this doesnt mean haikua right decision but what i am trying to say, investing katika wananchi ndo economy yenyewe, education: health and uwezo wa wananchi kujitambua wanaplay part gan katika nchi
 
I reckon it didn't....these are just theories though
get the real fact

Nyerere na kenyatta unawasingizia issues zilizotokea wao wenyewe wakiwa hata ndala hawajawahi kuvaa

Hivi hujui hata kama mlima Kilimanjaro ulikua national symbol ya Tanganyika kipindi cha ukoloni?

Ninyi ndio mnaofanya elimu yetu idharaulike kwa kutokujua mambo madogo kama haya.
 
Word,thank you for your reply which in of itself still contains a lot of theories and speculations,whats true though is the fatct that the partition took place before independence...I've updated the thread
But still my concern was not merely on who and when,it was rather on what's more beneficial between Kilimanjaro and Mombasa.
If you had to choose,what would you choose?
 
Mombasa is better than those four mini ports combined.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Ml. Kilimanjaro ungekuwa Kenya nakuhakikishia kwamba mlima huo ungekuwa unaingizia Kenya hela nyingi zaidi hata ya bandari na Mombasa kwa ujumla.
Halafu pesa yote ingeishia kwa cartels siyo?
 
What happened? You think
Kwenye Anglo-German (Heligoland) treaty (1 July 1890 ) baada ya waingereza kuwa wazungu wa kwanza kupata chanzo cha mto Nile na hivyo kuweza kumiliki mto huo...kwa kufudia, ilibidi wajerumani waongezewe eneo la ziwa Victoria (51%).

Sasa katika kuchora mipaka kutokea ziwani, ikaonekana wajerumani wangepata mlima kilimanjaro na bandari ya Mombasa, hivyo kwa kutumia busara ile ile ya mwanzo ya kuongezewa ukubwa wa ziwa, wajerumani wakaona waupindishe mpaka ili nao waingereza wapate bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…