Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
- Thread starter
- #41
YOLO....na matunda ya hiyo choice hautakuja kuyaona ..not in this lifetime
Sasa huwezi kuchagua bandari kwa sababu ni kitu ambacho kinatengenezeka!na wala hatuitaji kujenga bandari,ni maboresho machache tu yanayohitajika kufanywa..au we unaweza kutengeneza mlima mrefu zaidi africa????!?
Licha ya hivyo pia hivi vitu bandari na mlima si lazima huvifaidi wewe hata vizazi vijavyo
Kumbuka hata roma haikujengwa kwa siku moja watu waliona mbali kwa mlima Kilimanjaro,ebu fikiri vizuri,ondoa mawazo ya kulalamika