La liga ni ligi nzuri lakini haifikii Epl
Kaongea ukweli Spain timu kubwa ndo zashinda tuuuu huku EPL hata ile ya mwisho inakupiga magoli
1 simple fact mnasahau, Vikombe vyote vikubwa vya Ulaya vinashikiliwa na vilabu vya Spain, na most likely vitabaki Spain.
wewe muongoooo tena muongo mkubwa
ronaldo huyu kaisha hata dribbling hana kama alivyokua akimkimbiza akina ashley cole tuishie hapa tusihamishe mjadala
Ni kwel asemayo bcoz hata ukiangalia wafungaji wa lig ya England na la liga ni tofaut bcoz wakat cristian yuko man united alikuwa hazid magol 36 kwa miaka yote aliyoitumikia timu hiyo but angalia kwanzia ametuwa la liga anafunga zaidi ya goli 45 na si ajabu so mi nadhan england kuna upizan mkubwa kuliko la liga
FACT!timu zinashinda mwanzo mwisho no changamoto mpaka wakutane hao hao messi n ronaldo hakuna wakuwashinda na wakikutana na timu ngumu kama atletico hao akina barca ndo kujiangusha tu mpaka basi
Mkuu mimi nakwambia Atletico Madrid asingepangwa na na Real Madrid tungeshuhudia hili Nusu final ni Spain timu 3. Na kombe lingebaki Spain.
Hivi unajua kila weekend epl kuna big match ??
kitu ambacho Ozil alikiri kwamba uingereza kila mechi ni kama fainali
kwa wenzetu huko kila weekend tunasubiri magoli ya kikapu kama sio barcelona ni Madrid
huku juzi Southampton kampiga villa kifusi halafu huyu villa alimfunga man u ambae aliifunga southampton
timu kama swansea inazifunga home and away club za arsenal na man u huoni kitu cha ajabu ?
ni bora kukutana na swansea kuliko na stoke city sio mpira ila ni vita
hiyo ligi yenu ubingwa unaamuliwa kwa mechi mbili ??
niache kidogo
murinyo akiiongelea aseno huwa ananikera sana, alakini akiongeleaga timu nyingine ananifurahishaga mno maana kila neno analotoa ni point
lazma utakuwa umekonda tu kwani huo sio mwili wako maana ukishabikia arsenal daaaaah ni shiiiiiida
sijakonda mkuu, bado nina kumbu kumbu nzuri ya kikosi cha invinsible 2003/2004
ha ha ha ha ha ha ha ha sasa mkuu una miaka 10 hujainyanyua ndoo ya epl pia hujawai nyanyua uefa na fainali yenyewe umeingia mara 1 japo kila mwaka unashiriki sasa kwa nini usihamie upande wa pili wa LA LIGA
wewe muongoooo tena muongo mkubwa
ronaldo huyu kaisha hata dribbling hana kama alivyokua akimkimbiza akina ashley cole tuishie hapa tusihamishe mjadala
La liga ni ligi nzuri lakini haifikii Epl
kwa mujibu wa FIFA ligi bora ni ipi duniani? kama itakuwa ni La Liga nipe sababu kwa nini isiwe EPL
MO11 umeongea kitu kikubwa sana leo yan ronaldo kapungua uwezo wake kisoka toka alivyoumiaga mwaka wa mwsho wa man u mbka akaenda marekani kutibiwa yan saizi kabk mchovuwewe muongoooo tena muongo mkubwa
ronaldo huyu kaisha hata dribbling hana kama alivyokua akimkimbiza akina ashley cole tuishie hapa tusihamishe mjadala
Mpira wa Epl ni wa fujo ndiyo radha yake hiyo ligi.