Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

Fifa ndio nini kwani wewe huangalii mpira
mechi ya everton na swansea ni kubwa kuliko atletico vs malaga
mimi siiangalii kabisa watu wanacheza mpaka najiuliza hawa kadi nyekundu wanapataje mpira umepoa kama ligi ya mchangani

nikiangaliaga mpira wa england kichwa na shingo vinaniuma sababu mda wote mpira jujuu sasa ligi gani hiyo kila saa butubutu na mpira ukitua chini tyar faulo ila mpira wa spain hata ukimwanga unga wa sembe chini hauchafuki sababu mpira mwanana na wenye ladha kwa pasi maridadi na zakuvutia
 
hivi aliyekwambia mechi ikiisha mnakaguliwa nguo kama zimechafuka ni nani ?
hiyo tv yako mbovu ndip maana unaangalia juu juu
mpira ni tit for tat mpira vita
sio ligi yenu kama ya bongo timu mbili ya tatu imekuja juzi na itapotea
 
Huyo nae tushamzoea na maneno yake ya Ngomani,hizo timu za England mbona zikikutana na timu za Spain kwenye Mashindano ya UEFA zinapigwa kipigo cha Mbwa mwizi kila mwaka?

Unachoshindwa elewa ni upinzani unaotolewa na timu ndogo lwa timu kubwa, hamna mechi ya kusema tuna poont tatu tayari!
 
hivi aliyekwambia mechi ikiisha mnakaguliwa nguo kama zimechafuka ni nani ?
hiyo tv yako mbovu ndip maana unaangalia juu juu
mpira ni tit for tat mpira vita
sio ligi yenu kama ya bongo timu mbili ya tatu imekuja juzi na itapotea
sijakuelewa mkuu ligi ya timu.mbili kivip Ngoja nikuulize swali au nikufungue macho kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita kwenye epl na la liga EPL imetoa washindi wanne tofaut wakat LA LIGA imetoa washindi watano tofauti sasa kwa takwimu hizo inanifanya nisikuelewe una maanisha nini unaposema ligi ya timu mbili wakati kwenu kwa miaka 20 ni timu 4 tu ndizo zinazopokelezana ubingwa
 
kama timu gani mkuu ambayo inaweza mchapa madrid pia ikampiga atletico af imfunge na barca ni ipi hiyo ili nijiunge nayo

Man united,Arsenal,Chelsea,Liverpool,Mancity
 
Mourinho alikuwa anaongea siasa tu. Hivi wapenzi wa EPL mnaamini kabisa kwamba Barca, Real, Atleti, ambao huwa wanawanyanyasa wababe wa EPL kama Chelsea, Man U, Arsenal na Man City kila mwaka watazuiwa kuchukua ubingwa na Bunley, Stoke City, Swansea? Really?
 
sijakuelewa mkuu ligi ya timu.mbili kivip Ngoja nikuulize swali au nikufungue macho kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita kwenye epl na la liga EPL imetoa washindi wanne tofaut wakat LA LIGA imetoa washindi watano tofauti sasa kwa takwimu hizo inanifanya nisikuelewe una maanisha nini unaposema ligi ya timu mbili wakati kwenu kwa miaka 20 ni timu 4 tu ndizo zinazopokelezana ubingwa

mechi ipi ndogo unaangaliaga ya la liga ?
epl naangalia kila mechi na utamu upo hiyo ligi yenu mchezaji akiwa mzuri anachagua aende madrid au barcelona
diego costa ndio huyu aliyekua atletico
aguero kaja kwa mbwembwe akaishia kukaa misimu mitatu kama sio minne bila ufungaji bora
Soldado huyu alikua ashikiki huko la liga huku kama mr penati
Negredo alikua anafunga kama mwendawazimu alipokua huko huku kaja kisha kakimbia
Diego forlan ndio alikua msuguaji benchi pale man u kaenda atletico akawa moto
Roy keane alimwambia pique beki hawezi akawa amelegea hivi ila karudi baca ndio beki bora
Hivi bado uahitaji kujua ligi ngumu ?
 
Acha kuota ndoto za mchana.

hivi wewe una akili ?
lini barcelona au madrid kamaliza unbeaten kwenye ligi yao ?
kwanini wasifungwe ??
hawa madrid wakacheze kila wiki mikiki mikiki ya epl msimu mmoja wataomba poo
yaani ucheze wiki hii na everton wiki ijayo na crystal wiki ijayo na stoke wiki inayofuata na Arsenal kisha man u kisha unasubiri man cty chelsea liverpool spurs ndio wasifungwe ??
kufungwa kunatokana na kuchoka kwa wachezaji sio kiwango kibovu upo hapo ?
 
ipo ligi moja ambayo inashirikisha timu za ulaya zikiwemo za spain na england, mbona ao waingereza wote hata kwenye robo hawajafika?
 
Man united,Arsenal,Chelsea,Liverpool,Mancity

hebu nielewe mkuu nikikwambia barca ni hvi ishamfunga city barca ikamfunga chelsea barca ikamfunga arsenal barca pia imemfunga man u sasa ukintajia oooh city wap na wap mara chelsea ambaye mechi ya mwisho na madrid kala 3-0.sasa nazani umebielewa nitajie timu moja ya england ambayo imeshawahi kuifunga barca atletico na madrid ili nihamie NASUBIRIA JIBU
 
nikiangaliaga mpira wa england kichwa na shingo vinaniuma sababu mda wote mpira jujuu sasa ligi gani hiyo kila saa butubutu na mpira ukitua chini tyar faulo ila mpira wa spain hata ukimwanga unga wa sembe chini hauchafuki sababu mpira mwanana na wenye ladha kwa pasi maridadi na zakuvutia

Ligi ya spain imedorora kuanzia kwa macommentator mpk uwanjan wakat epl hakuna kitu kama hicho
 
hivi wewe una akili ?
lini barcelona au madrid kamaliza unbeaten kwenye ligi yao ?
kwanini wasifungwe ??
hawa madrid wakacheze kila wiki mikiki mikiki ya epl msimu mmoja wataomba poo
yaani ucheze wiki hii na everton wiki ijayo na crystal wiki ijayo na stoke wiki inayofuata na Arsenal kisha man u kisha unasubiri man cty chelsea liverpool spurs ndio wasifungwe ??
kufungwa kunatokana na kuchoka kwa wachezaji sio kiwango kibovu upo hapo ?

mkuu kwanza asante kwa kuiona post yangu na kuipita ni ishara ya kuwa umekubali hoja yangu pili tunahamia hapa ulipomjibu mdau sababu nakuona hueleweki ni kweli barca ama madrid hazijatwaa ubingwa wa la liga bila kufungwa sasa kwani ARSENAL ilipotwaa epl bila kufungwa unafikil ligi ilikuwa mbov au unafikil walikuwa hawachez kila baada ya siku 3 Kipindi kile walikuwa bora kwenye ubora wao sasa hizo propaganda zako nyingine mie sizielew USIPANIC MKUU
 
hivi wewe una akili ?
lini barcelona au madrid kamaliza unbeaten kwenye ligi yao ?
kwanini wasifungwe ??
hawa madrid wakacheze kila wiki mikiki mikiki ya epl msimu mmoja wataomba poo
yaani ucheze wiki hii na everton wiki ijayo na crystal wiki ijayo na stoke wiki inayofuata na Arsenal kisha man u kisha unasubiri man cty chelsea liverpool spurs ndio wasifungwe ??
kufungwa kunatokana na kuchoka kwa wachezaji sio kiwango kibovu upo hapo ?

Mi akili ninazo, labda wewe ndio huna. Kama Barca na Madrid huwa wanafungwa kwenye La Liga, then point ya hii thread ni nini? Maana argument yenu ni kuwa Barca na Real huwa wanachukua ndoo kiulaini, sasa kama unasema huwa wanafungwa then what's your point?
 
Ligi ya spain imedorora kuanzia kwa macommentator mpk uwanjan wakat epl hakuna kitu kama hicho

ile epl ni ligi ya vyombo vya habari ila hispain ni ligi wanakopiga soka safi na la maana
 
Sasa hao mnaosema league yao ni ngumu (EPL) mbona wakikutana na timu za ligi nyingine (rahisi) kwenye UEFA wanachemsha?

Ukweli ni kwamba vilabu vya Uingereza vina uwezo mdogo vyote ndiyo maana wakikutana lazima wasumbuane (wajinga kwa wajinga).

Huwezi ukawa na timu nzuri halafu ukafungwa na timu zinazoshika mkia.

Lionel Messi na Christiano Ronaldo wanayoyafaya kwenye La Liga ndo yaleyale wanayoyafanya kwenye UEFA wanapokutana na timu bora za ligi zote za Ulaya. Sasa kama wanawachapa hao top four wakicheza na kina Stoke City itakuwaje? Si yatatokea maafa?

Kama jambo rahisi hivi ni gumu kueleweka basi siyo ajabu kwa Tanzania kuwa hapa tulipo leo kiuchumi.
 
EPL ni makelele tu kama kawaida yenu hamna lolote. Hata kwenye Europa League hamna timu ya EPL iliyovuka raundi ya 16. Spain ilikuwa na timu 2 kwenye raundi ya 16 (Sevilla na Villarreal) na wakacheza wenyewe kwa wenyewe, na Sevilla wanacheza fainali Jumatano ijayo na Dnipro Dnipropetrovsk ya Ukraine. Halafu mnakuja hapa oh EPL, EPL.
 
mechi ipi ndogo unaangaliaga ya la liga ?
epl naangalia kila mechi na utamu upo hiyo ligi yenu mchezaji akiwa mzuri anachagua aende madrid au barcelona
diego costa ndio huyu aliyekua atletico
aguero kaja kwa mbwembwe akaishia kukaa misimu mitatu kama sio minne bila ufungaji bora
Soldado huyu alikua ashikiki huko la liga huku kama mr penati
Negredo alikua anafunga kama mwendawazimu alipokua huko huku kaja kisha kakimbia
Diego forlan ndio alikua msuguaji benchi pale man u kaenda atletico akawa moto
Roy keane alimwambia pique beki hawezi akawa amelegea hivi ila karudi baca ndio beki bora
Hivi bado uahitaji kujua ligi ngumu ?
Asiyekuelewa basi tena!!
Tatizo hapa watu wanaangalia timu kubwa tuu kwa kuwa zimefungwa na barca basi wanaoshia kusema epl mbovu, epl suala la ushindani ni kitu kingine, barca na madrid wangekoma, hii haina ubishi! Majembe yaliyokuwa la liga yanastruggle Epl au yamechukua miaka mitatu kuonyesha cheche, ebu wacheki hao waliotajwa na huyu ndugu niliyemquote kisha wacheki kina ronaldo na pia yule kinda wa arsenal mmexico nimemsahau jina, wanaburuza la liga balaa tena msimu wa kwanza tu! hata ryo miyoichi anatesa la liga sasa hivi, epl kachemsha kabisa!
 
Back
Top Bottom