Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Hawa jamaa wengi wao hawafuatilii chochote nje ya premier. Atleti 2013/14 alibeba ndoo ya ligi mbele ya Barca, tena Camp Nou, Barca angeshinda ndoo ilikuwa yake. Wanataja Barca na Madrid tu bado.Umemaliza kila kitu mkuu.
Fan boys wa EPL hawana facts, wanachodai wao ni kwamba EPL hata anayeongoza ligi akikutana na timu inayoshika mkia chochote kinaweza kutokea. LOL!
Madrid alipewa nafasi ya kubeba ndoo pia msimu wa 2013/14 baada ya Malaga kuwatibulia Atleti, Madrid angeshinda games zote zilizobaki angekuwa bingwa, guess who stopped them......Celta Vigo(loss) na Valencia(draw).
2014/15 Madrid alikuwa na record 22 victories in all competitions, guess who ended it....Valencia. Liverpool was part of the 22.
Barca kachukua Liga juzi, alipigwa na Getafe, Real Sociedad, na Celta pia. Bado watasema La Liga ni nyepesi na inatabirika.
Chelsea katangaza ubingwa na mechi ngapi mkononi?? Wanajua wenyewe, Barca katangazwa bingwa with only a game to play. Bado Premier ina ushindani na haitabiriki, smh.