Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

Umemaliza kila kitu mkuu.

Fan boys wa EPL hawana facts, wanachodai wao ni kwamba EPL hata anayeongoza ligi akikutana na timu inayoshika mkia chochote kinaweza kutokea. LOL!
Hawa jamaa wengi wao hawafuatilii chochote nje ya premier. Atleti 2013/14 alibeba ndoo ya ligi mbele ya Barca, tena Camp Nou, Barca angeshinda ndoo ilikuwa yake. Wanataja Barca na Madrid tu bado.

Madrid alipewa nafasi ya kubeba ndoo pia msimu wa 2013/14 baada ya Malaga kuwatibulia Atleti, Madrid angeshinda games zote zilizobaki angekuwa bingwa, guess who stopped them......Celta Vigo(loss) na Valencia(draw).

2014/15 Madrid alikuwa na record 22 victories in all competitions, guess who ended it....Valencia. Liverpool was part of the 22.

Barca kachukua Liga juzi, alipigwa na Getafe, Real Sociedad, na Celta pia. Bado watasema La Liga ni nyepesi na inatabirika.

Chelsea katangaza ubingwa na mechi ngapi mkononi?? Wanajua wenyewe, Barca katangazwa bingwa with only a game to play. Bado Premier ina ushindani na haitabiriki, smh.
 
La Liga inaingiza timu za kutosha kwenye nusu fainali za UEFA na Europa halafu mtu anaifananisha La Liga na EPL!

Mmekula Maharagwe ya wapi nyie?!
 
Huyo nae tushamzoea na maneno yake ya Ngomani,hizo timu za England mbona zikikutana na timu za Spain kwenye Mashindano ya UEFA zinapigwa kipigo cha Mbwa mwizi kila mwaka?

Siyo kila mwaka mkuu, labda kama umeanza kutazama mashindano hayo hivi karibuni! Chelsea ilimfunga barca kwao na ikamwondoa kwenye mashindano! Na mwaka ule chelsea walibeba ndoo ya UEFA!
 
wewe unaonekana ni mchambuz mwenye upeo fulani katika soka ila cjajua kwa badae kama utabadilika au lah

Mkuu huo ndo ukweli,timu iliyofungwa na r,madrid gori9, ndo iliyofungwa barc gori8,wachezaji wake hawajalipwa mishahala yao km miezi5 hivi,epl ulishasikia timu imeshindwa kulipa wachezaji?
 
epl kama kawaida yao kujipa promo wakati hamna kitu kama kweli ni wakali tungeona ukaliwao wakati wanapokutana kwenye uefa na european league
 
Kaongea ukweli Spain timu kubwa ndo zashinda tuuuu huku EPL hata ile ya mwisho inakupiga magoli

Engaland hakuna timu kubwa. ktk ligi ya epl hakuna timu inayo weza kumiliki wachezaji kama wanao milikiwa na rial au baca vichezaji vyote vya epl vinafanana viwango vyake..
Mtu yeyete anaeweza kufananisha vitumu vya engaland na timu za spein atakuwa ana mapungufu ya akili.
 
Sasa hao mnaosema league yao ni ngumu (EPL)
mbona wakikutana na timu za ligi nyingine (rahisi)
kwenye UEFA wanachemsha?
Ukweli ni kwamba vilabu vya Uingereza vina uwezo
mdogo vyote ndiyo maana wakikutana lazima
wasumbuane (wajinga kwa wajinga).
Huwezi ukawa na timu nzuri halafu ukafungwa na
timu zinazoshika mkia.
Lionel Messi na Christiano Ronaldo wanayoyafaya
kwenye La Liga ndo yaleyale wanayoyafanya
kwenye UEFA wanapokutana na timu bora za ligi
zote za Ulaya. Sasa kama wanawachapa hao top
four wakicheza na kina Stoke City itakuwaje? Si
yatatokea maafa?
Kama jambo rahisi hivi ni gumu kueleweka basi
siyo ajabu kwa Tanzania kuwa hapa tulipo leo
kiuchumi.

hivi umesahau kuna kipindi timu zote za top 4 uingereza zilikua zinaongia robo fainali hao madrid walikua wakitolewa na ajax karibu misimu sita hatua ya 16 bora ?
ilikua mpaka wanawekewa kamati arsenal alicheza na liverpool man u wakacheza na chelsea hiyo ilikua robo aua umesahau haraka ?
hivi timu zipi nyingi zimechukua uefa
huku kuna
liverpool
man u
aston villa
notting ham forest
chelsea
eti mtu kachukua ligi mara 30+ anacheza peke yake au ?
ligi mtu anamaliza bingwa ana point 75
 
hebu nielewe mkuu nikikwambia barca ni hvi ishamfunga city barca ikamfunga chelsea barca ikamfunga arsenal barca pia imemfunga man u sasa ukintajia oooh city wap na wap mara chelsea ambaye mechi ya mwisho na madrid kala 3-0.sasa nazani umebielewa nitajie timu moja ya england ambayo imeshawahi kuifunga barca atletico na madrid ili nihamie NASUBIRIA JIBU

Atakwambia Chelsea ndo wababe wa Barça hahahah mashabiki wa England huwa wananichekesha sana et pipo inakurupuka na kusema Barça angekutana na Chelsea ungekuwa mwisho wa Barça
 
Fact: Mourinho alifundisha kwa miaka mi-3 La Liga, aliambulia Copa del Rey 1 na La Liga 1 tu. Alichemka vibaya akakimbia kufukuzwa.

Fact: Mourinho alipokuwa La Liga alishindwa soka akaanza visingizio kila siku, mara refs, Uefa and Unicef conspiracies, potato fields, tight schedule, hunting with a Cat, snitches, et cetera.

Fact: Mourinho alishindwa soka akaishia ku-attack makocha wengine physically. Recall what he did to Tito.

Fact: Mchezaji wa daraja la pili Spain, anaingia moja kwa moja Premier League na kupata number. Ayoze Perez, Newcastle.

Fact: Ex players wa La Liga na walioonekana wa kawaida ndio wanai-run Premier. Yaya Toure, Fabregas, Sanchez, Alex Song, Juan Mata, Ander Herrera, et cetera.

Fact: Fifpro iko dominated na La Liga players miaka kibao. Best league......where are your best players??

Fact: Premfaces hamna facts ku-support arguments zenu.

eti David moyes kaishindwa man u eti huko sociedad bonge la kocha
ha ha ha ha ha ha ha ha
 
EPL ipo kwenye media kwenye ground hakuna kitu mipira yao yote inafanana ya butua butua ukiitoa Arsenal na ndo maana Joze anaipenda cox ni lig ambayo haihitaji ufundi zaid ya kujua uelekeo wa goal basi
Ukitaka kujua mbona simple tu Spain ndo kuna wachezaji bora wa dunia EPL wako wap kama ni lig bora UEFA wako wapi Uefa ndogo out kitambo ambayo Sevila ya Spain inawexa chukua tena
EPL kisoka wapo xhini sema Media zinafanya kaz kubwa

mpira ni tactics na technique sasa kama unataka kila team icheze soccer la gonga gonga iutakuwa umechemsha na ukiangalia kila nchi ina utamaduni wake wa soccer,hat vilabu pia ..namashaka kama umeelewa concept inayozungumziwa hapo na Josee,EPL ni ligi inayokutaka uwe aware(physically and mentally) wakati wote sio leo unaenda uwanjani ukiwa na uhakika makapu la magoli kama ilivyo Spain..Kuhusu best player ainisha vigezo vya kumpata world best player ndo tuanzie hapo
 
huku kwetu mpaka beki anakua mchezaji bora wa ligi kuu uliza huyu beki anawazuia akina nani ?
 
Ligi yenye upinzani, qpr inamtoa jasho la meno chelsea!

Lini QPR alimtoa jasho Chelsea? Acheni kukariri bila kuwa na facts. Bingwa wa EPL Chelsea mpaka sasa amefungwa mechi 3 tu (dhidi ya Newcastle, Totenham na WBA). Bingwa wa La Liga, Barcelona mpaka sasa amefungwa mechi 4 (dhidi ya Real Madrid, Celta Vigo, Real Sociedad na Malaga). Chelsea mpaka sasa kampita mshindi wa pili kwa point 8 wakati Barcelona kampita mshindi wa pili kwa pointi 4. Sasa hiyo notion kwamba Spain ligi kuliko nyepesi EPL inatokea wapi?
 
Engaland hakuna timu kubwa. ktk ligi ya epl hakuna timu inayo weza kumiliki wachezaji kama wanao milikiwa na rial au baca vichezaji vyote vya epl vinafanana viwango vyake..
Mtu yeyete anaeweza kufananisha vitumu vya engaland na timu za spein atakuwa ana mapungufu ya akili.

umenivunja mbavu zangu mkuu
 
Huo ugumu wa Epl ni wa mpira wa fujo tu,sasa Barc na Real wanawapigia mpira kweli pamoja na hizo fujo zenu,ikiwa hizo top 4 zenu zenye kuhimili hizo fujo zinafungwa je,vp hivyo vitimu vidogo? Kwa kifupi Real na Barc ni Level zengine kabisa huo ndiyo ukweli.
 
Lini QPR alimtoa jasho Chelsea? Acheni kukariri bila kuwa na facts. Bingwa wa EPL Chelsea mpaka sasa amefungwa mechi 3 tu (dhidi ya Newcastle, Totenham na WBA). Bingwa wa La Liga, Barcelona mpaka sasa amefungwa mechi 4 (dhidi ya Real Madrid, Celta Vigo, Real Sociedad na Malaga). Chelsea mpaka sasa kampita mshindi wa pili kwa point 8 wakati Barcelona kampita mshindi wa pili kwa pointi 4. Sasa hiyo notion kwamba Spain ligi kuliko nyepesi EPL inatokea wapi?

baada ya wapili watatu kaachwa point ngapi ?
 
Hawa jamaa wengi wao hawafuatilii chochote nje ya premier. Atleti 2013/14 alibeba ndoo ya ligi mbele ya Barca, tena Camp Nou, Barca angeshinda ndoo ilikuwa yake. Wanataja Barca na Madrid tu bado.

Madrid alipewa nafasi ya kubeba ndoo pia msimu wa 2013/14 baada ya Malaga kuwatibulia Atleti, Madrid angeshinda games zote zilizobaki angekuwa bingwa, guess who stopped them......Celta Vigo(loss) na Valencia(draw).

2014/15 Madrid alikuwa na record 22 victories in all competitions, guess who ended it....Valencia. Liverpool was part of the 22.

Barca kachukua Liga juzi, alipigwa na Getafe, Real Sociedad, na Celta pia. Bado watasema La Liga ni nyepesi na inatabirika.

Chelsea katangaza ubingwa na mechi ngapi mkononi?? Wanajua wenyewe, Barca katangazwa bingwa with only a game to play. Bado Premier ina ushindani na haitabiriki, smh.

Na inaonekana labda wameanza kuzifuatilia Real Madrid na FC Barcelona kipindi hiki cha kina Christiano Ronaldo na Lionel Messi. Ngoja niwakumbushe kitu.

Msikilizeni Ferguson alivyokuwa analia akikutana na timu za Spain,

"Real Madrid - they have a nice draw, they must have picked it themselves. The Spanish or Italian teams don't play each other, how do you think they work that out? They don't want us in the final, that's for sure, but I'm not listening." - Alex Ferguson.

Ferguson alipigwa fine ya £4,600 na UEFA kwa kulia-lia. Hii ilikuwa mwaka 2003.

Kipindi hicho Ferguson analia-lia hakuna mtu aliyekuwa "anamfahamu" Christiano Ronaldo pale Madrid. La Liga ni ligi iliyo juu tokea miaka hiyo.

Ferguson fined for claiming UEFA draw was fixed - Telegraph
 
Hivi mpira wa kupaki bus nyuma nao ndiyo mpira wa kujisifu?
 
eti David moyes kaishindwa man u eti huko sociedad bonge la kocha
ha ha ha ha ha ha ha ha

mkuu sasa umeishiwa maneno nabufatilii mpira yani.moyes spain bonge la kocha. Timu yake inashika nafasi ya 12 point 10 zimemsaidia asishuke daraja sasa cjajua unamzungumzia moyes gani? maana ni bora alivyokuwa man u aliisaidia ikawa ya 7
 
Back
Top Bottom