PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Fifa ndio nini kwani wewe huangalii mpira
mechi ya everton na swansea ni kubwa kuliko atletico vs malaga
mimi siiangalii kabisa watu wanacheza mpaka najiuliza hawa kadi nyekundu wanapataje mpira umepoa kama ligi ya mchangani
nikiangaliaga mpira wa england kichwa na shingo vinaniuma sababu mda wote mpira jujuu sasa ligi gani hiyo kila saa butubutu na mpira ukitua chini tyar faulo ila mpira wa spain hata ukimwanga unga wa sembe chini hauchafuki sababu mpira mwanana na wenye ladha kwa pasi maridadi na zakuvutia