Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

Ni kwel asemayo bcoz hata ukiangalia wafungaji wa lig ya England na la liga ni tofaut bcoz wakat cristian yuko man united alikuwa hazid magol 36 kwa miaka yote aliyoitumikia timu hiyo but angalia kwanzia ametuwa la liga anafunga zaidi ya goli 45 na si ajabu so mi nadhan england kuna upizan mkubwa kuliko la liga
Afu timu za EPL zikienda champions league upinzani unaendelea kama kawaida yani.... si ndio??

CR na KM licha ya kutawala La Liga, bado ni moto wa kuotea mbali CL.... EPL ni ligi ya kidemu....PERIOD. Kelele nyiiiingi kama kitchen party au taarab.
 
Ndio hivyo mkuu, hizo kitu huwa zinatokeaga tu kila sehemu, Monaco kumfunga Arsenal haimaanishi ligi ya France ni bora kuliko EPL, wala Juve kumtoa Madrid pia sio ishu sana. Ebu kwa mfano kombe la UCL akichukua Juve, ndio tuseme kuwa Seria A ni bora kuliko ligi zote ulaya? Anyway mimi naona alichokizungumzia Morinho hapo juu ni ushindani, na hilo halipingiki ligi ya EPL ina ushindani mkubwa kuliko La liga.

Akichukua JUVE?? Achukulie wapi kwa mfano?? Au tfanye kachukua, lakini tuseme ukweli kwamba samtaimz kuna bahati... lakini bahati kwa miaka mitano mfululizo??
 
siipendi yanga wala simba kwa sababu ya ligi yao kama Hispania. Afadhal England wakat wa utoto wangu Newcastle wakiwa mabingwa..Liverpool Nk Leo chelsea wageni.

Shkamoo babu. Mungu yu mwema mpaka leo uko hai...
 
Isijekuwa hicho ni chambo na kuna wachezaji kisha walenga kutokea Spain.
 
kaaaaaaah kwanza pole sana mkuu kwa kuangaika kugoogle yani kipindi hiko mama yangu alikuwa ndio.kwanza anasoma tena shule ya msingi yani mm.hata mpango wa kuzaliwa sina

Google ni rafiki mzuri. Si tungeendelea kudanganyana tu. Au ulitaka niropoke tu from no where?
 
Akichukua JUVE?? Achukulie wapi kwa mfano?? Au tfanye kachukua, lakini tuseme ukweli kwamba samtaimz kuna bahati... lakini bahati kwa miaka mitano mfululizo??

Naona umejiandaa kubishana sio kueleweshana. Kwenye mpira lolote linaweza kutokea na ndio maana hata Bayern akicheza na JKT oljoro kwenye betting hawezi akapewa odds 1.00.
 
Ni matusi na dharau kubwa kuzilinganisha timu za La Liga na za EPL kwa kizazi hiki...... Labda baabaye sana yani...

EPL waendelee kuimba taarabu wakati wakijiandaa kama kweli wanataka kuchalenjiana na miamba ya Spain..... Upinzani labda kwa mbaaaali Bundesliga na Serie A. EPL nehiii...
 
Haya nimekusikia.
 
Ndio hivyo mkuu, hizo kitu huwa zinatokeaga tu kila sehemu, Monaco kumfunga Arsenal haimaanishi ligi ya France ni bora kuliko EPL, wala Juve kumtoa Madrid pia sio ishu sana. Ebu kwa mfano kombe la UCL akichukua Juve, ndio tuseme kuwa Seria A ni bora kuliko ligi zote ulaya? Anyway mimi naona alichokizungumzia Morinho hapo juu ni ushindani, na hilo halipingiki ligi ya EPL ina ushindani mkubwa kuliko La liga.

Acheni stori za vijiweni na kwenye Pub. Toeni facts kwamba EPL ina ushindani kuliko La Liga. Mnaongea kana kwamba Barca au Real huwa zinaingia uwanjani peke yao na kufunga magoli mpaka wanachukua ubingwa bila upinzani wakati sio kweli. Soma post yangu namba 93 nimetoa facts kuonyesha kuwa ushindani uko pande zote.
 
Hivi unajua kila weekend epl kuna big match ??
kitu ambacho Ozil alikiri kwamba uingereza kila mechi ni kama fainali
kwa wenzetu huko kila weekend tunasubiri magoli ya kikapu kama sio barcelona ni Madrid
huku juzi Southampton kampiga villa kifusi halafu huyu villa alimfunga man u ambae aliifunga southampton
timu kama swansea inazifunga home and away club za arsenal na man u huoni kitu cha ajabu ?
ni bora kukutana na swansea kuliko na stoke city sio mpira ila ni vita
hiyo ligi yenu ubingwa unaamuliwa kwa mechi mbili ??
niache kidogo

Wakuu hivi mnafikiri jose mourinho angesema nini ili aonekane bora kwa kuchukua ubingwa zaid ya kusifu ligi ya england.

hebu jiulize katika ligi ya england mwaka huu mbabe wao chelsea huko kwenye ushindani huko kafungwa mechi tatu tu kati ya mechi 37, hebu tuwe wapembuzi, hivi ni kweli kiwango cha chelsea ni cha kupoteza mechi tau tu kati ya gem 37 hadi sasa, ni kweli? hamjua kuwa pamoja na ubora barca kapoteza mechi nne, na madrid kapoteza mechi 6 na atletico pia 6, vipi hapo?
Hivi chelsea ana ubora sana wa mpira na ufundi wa kutosha au kuna tatizo uingereza, na ushindani wao wanauonyesha wapi, maana uropa alikuwa liver, tottenham na everton, hamna aliyefika robo, ndo kwanza everton anawadindia kina man U na kuwavuruga, avu mpira huo huo usio na ubunifu kaenda kucheza na timu ya ukraine akala 5, hapo mourinho pointi yake ipo wapi?

Hivi PSG si ndo kamtoa CHELSEA, msimu huu huu, pia si amekutana na barca mara nne yaani makundini na robo, si kapigwa bao 8-2 na BARCA katika mech 4, chelsea si katoa 3-3 katika mechi mbili na hao PSG. Tuwe wakweli hivi kina sevilla, valencia, vila real, athletic bilbio ni sawa na kina newcastle, sunderland, hull city n.k. hivi kule EUROPA SPAIN si walikuwa na timu tatu zikatoana zenyewe na sasa servilla anacheza final, huku waingereza ni very poor hawakufika robo ya EUROPA WALA CHAMPION LEAGUE.

Hiyo ligi yenye ushindani, katika mafanikio ya CHAMPION LEAGUE na EUROPA inashika nafasi ya tatu, wa kwanza spain wa pili italia wa tatu england-CL, EUROPA wa kwaz italia wa pili spain na wa tatu ni England, kwa over all hata baada ya majina ya mashindano kubadilishwa badilishwa.

BARCA NA MADRID kweli wanavuruga ushindani wa mpira spain, ila hawaishii huko hata mashindano makubwa ulaya kwa ujumla, wapo katika viwango vya juu mno, mana kama tano tano au saba saba wanafunga champion league na home pia.
Hivi hatuna misimu saba timu za spain lazima zitoe dozi ya magoli zaidi ya 5 ulaya, si hapa kati wameongeza kidogo katika mechi moja wamefunga funga saba saba, ukijumlisha kuna timu zimepigwa zadi ya 10, wote kwa wakati tofauti, mbona washaulifu, au soka si hobi yenu, mmetutembelea tu wadau?

MOURINHO anajua ila lazima awapumbaze waingereza, kama makocha wa ulaya wanaona barca na madrid wanatawala sana ligi yao wawastopishe kwenye CHAMPION LEAGUE basi, si kuleta porojo. Kuna zaidi ya miaka saba champion league anayemtoa BARCA au MADRID au tim ya SPAIN nyingine anakuwa bingwa, hivi hilo mourinho na ninyi mashabiki hamlioni au kiburi, kumbuka hilo. Yaani tim ikiitoa tim ya spain ndo inahakikisha high peak labda ikutane tena na hao hao, kumbuka UEFA
· MAN U aliitoa BARCA 2009 akabeba
· INTER aliitoa BARCA 2010 akabeba
· Chelsea aliitoa BARCA 2012 akabeba
· BAYERN aliitoa BARCA na DORTIMUND aliitoa Madrid 2013, fainali, BAYERN akabeba
· 2014 wenyewe kwa wenyewe, nakuhakikishia atletico angeingia na mwingine angebeba
· Leo hii waliingiza tim 3 robo afu 2 nusu, tena kwa sababu zilitoana zenyewe, hivi ni tim za kubeza hizi kama kweli tupo serious na timamu pia juu ya mpira.

Kuhusu ushindani, hata Afrika ya Mashariki ligi ya bongo ndo yenye ushindani mkubwa, vipi? tumlete TP MAZEMBE na ENYIMBA tutakuwa tunawafunga, porojo na ukweli havikai pamoja, mimi naangalia ligi ya UINGEREZA sana mana ina mvutano, ila mpira mbovu sana, hivi kwa viwango vya kina ARSERNAL miaka yote top four, angekuwa spain angemaintain kweli, hivi arsernal ndo mpiga pasi uingereza hivi anafikia kiwango cha upigaji pasi wa SERVILLA, VILA REAL, GETAFE, REAL ZARAGOZA na wengineo, na wanaleta makombe kwa zam nchini kwao.

Atletico madrid ingekuwa uingereza miaka miwli hii ingeweza chukua ubingwa, sema kule kakutana na wababe, ana bahati mbaya mno.
 
mkuu sina la kuongeza sasa atakayebisha nikilaza wa mwisho
 
Wa Bongo kwa ujuaji bwana!!!! Kocha amezungumzia through experience. Amekaa Spain × 2. Alipokuwa bacelona na aliporudi kuinoa Real Madrid. Pia amekaa England × 2 kama kocha.
Naona wapo humu wanaochangia kwakupinga kauli ya Mourinho. Sidhani kama humu kuna mwenye guts zakumpinga mourinho.
Ndio maana wakenya wanatuona tupo much theoretical hata kwenye fikra
 
Kocha aiseishuwa maneno akiwa kwenye interview na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena ametoa mawazo yake kuhusu ligi
mbili maarufu EPL na La Liga.

Jose akiwa kwenye interview na talksport alisema kwamba kuna utofauti mkubwa kati ya La Liga na EPL kwasababu yeye ana uzoefu na ligi zote mbili.

Amesema kwamba mambo yangekua tofauti kwa Barcelona na Real Madrid kama wangekua kwenye ligi ya uingereza.
Nilikua Spain lakini sikui-ejoy kwasababu nilishinda ubingwa kwa rekodi ya points 100 na magoli 121. Mambo ni tofauti hapa England
inabidi uwe tayari kwa kila mechi.

Utayari wako sio wa kimchezo tu, bali hata kiakili. Sidhani kama wangezea kutawala EPL kama La Liga
Kaishiwa huyo,la liga ligi bora ulimwenguni inakaribia heaven
 
Wakuu hivi mnafikiri jose mourinho angesema nini ili aonekane bora kwa kuchukua ubingwa zaid ya kusifu ligi ya england.

hebu jiulize katika ligi ya england mwaka huu mbabe wao chelsea huko kwenye ushindani huko kafungwa mechi tatu tu kati ya mechi 37, hebu tuwe wapembuzi, hivi ni kweli kiwango cha chelsea ni cha kupoteza mechi tau tu kati ya gem 37 hadi sasa, ni kweli? hamjua kuwa pamoja na ubora barca kapoteza mechi nne, na madrid kapoteza mechi 6 na atletico pia 6, vipi hapo?
Hivi chelsea ana ubora sana wa mpira na ufundi wa kutosha au kuna tatizo uingereza, na ushindani wao wanauonyesha wapi, maana uropa alikuwa liver, tottenham na everton, hamna aliyefika robo, ndo kwanza everton anawadindia kina man U na kuwavuruga, avu mpira huo huo usio na ubunifu kaenda kucheza na timu ya ukraine akala 5, hapo mourinho pointi yake ipo wapi?

Hivi PSG si ndo kamtoa CHELSEA, msimu huu huu, pia si amekutana na barca mara nne yaani makundini na robo, si kapigwa bao 8-2 na BARCA katika mech 4, chelsea si katoa 3-3 katika mechi mbili na hao PSG. Tuwe wakweli hivi kina sevilla, valencia, vila real, athletic bilbio ni sawa na kina newcastle, sunderland, hull city n.k. hivi kule EUROPA SPAIN si walikuwa na timu tatu zikatoana zenyewe na sasa servilla anacheza final, huku waingereza ni very poor hawakufika robo ya EUROPA WALA CHAMPION LEAGUE.

Hiyo ligi yenye ushindani, katika mafanikio ya CHAMPION LEAGUE na EUROPA inashika nafasi ya tatu, wa kwanza spain wa pili italia wa tatu england-CL, EUROPA wa kwaz italia wa pili spain na wa tatu ni England, kwa over all hata baada ya majina ya mashindano kubadilishwa badilishwa.

BARCA NA MADRID kweli wanavuruga ushindani wa mpira spain, ila hawaishii huko hata mashindano makubwa ulaya kwa ujumla, wapo katika viwango vya juu mno, mana kama tano tano au saba saba wanafunga champion league na home pia.
Hivi hatuna misimu saba timu za spain lazima zitoe dozi ya magoli zaidi ya 5 ulaya, si hapa kati wameongeza kidogo katika mechi moja wamefunga funga saba saba, ukijumlisha kuna timu zimepigwa zadi ya 10, wote kwa wakati tofauti, mbona washaulifu, au soka si hobi yenu, mmetutembelea tu wadau?

MOURINHO anajua ila lazima awapumbaze waingereza, kama makocha wa ulaya wanaona barca na madrid wanatawala sana ligi yao wawastopishe kwenye CHAMPION LEAGUE basi, si kuleta porojo. Kuna zaidi ya miaka saba champion league anayemtoa BARCA au MADRID au tim ya SPAIN nyingine anakuwa bingwa, hivi hilo mourinho na ninyi mashabiki hamlioni au kiburi, kumbuka hilo. Yaani tim ikiitoa tim ya spain ndo inahakikisha high peak labda ikutane tena na hao hao, kumbuka UEFA
· MAN U aliitoa BARCA 2009 akabeba
· INTER aliitoa BARCA 2010 akabeba
· Chelsea aliitoa BARCA 2012 akabeba
· BAYERN aliitoa BARCA na DORTIMUND aliitoa Madrid 2013, fainali, BAYERN akabeba
· 2014 wenyewe kwa wenyewe, nakuhakikishia atletico angeingia na mwingine angebeba
· Leo hii waliingiza tim 3 robo afu 2 nusu, tena kwa sababu zilitoana zenyewe, hivi ni tim za kubeza hizi kama kweli tupo serious na timamu pia juu ya mpira.

Kuhusu ushindani, hata Afrika ya Mashariki ligi ya bongo ndo yenye ushindani mkubwa, vipi? tumlete TP MAZEMBE na ENYIMBA tutakuwa tunawafunga, porojo na ukweli havikai pamoja, mimi naangalia ligi ya UINGEREZA sana mana ina mvutano, ila mpira mbovu sana, hivi kwa viwango vya kina ARSERNAL miaka yote top four, angekuwa spain angemaintain kweli, hivi arsernal ndo mpiga pasi uingereza hivi anafikia kiwango cha upigaji pasi wa SERVILLA, VILA REAL, GETAFE, REAL ZARAGOZA na wengineo, na wanaleta makombe kwa zam nchini kwao.

Atletico madrid ingekuwa uingereza miaka miwli hii ingeweza chukua ubingwa, sema kule kakutana na wababe, ana bahati mbaya mno.

Umemaliza yote mkuu sina cha kuongeza
 
mkuu kwanza asante kwa kuiona post yangu na kuipita ni ishara ya kuwa umekubali hoja yangu pili tunahamia hapa ulipomjibu mdau sababu nakuona hueleweki ni kweli barca ama madrid hazijatwaa ubingwa wa la liga bila kufungwa sasa kwani ARSENAL ilipotwaa epl bila kufungwa unafikil ligi ilikuwa mbov au unafikil walikuwa hawachez kila baada ya siku 3 Kipindi kile walikuwa bora kwenye ubora wao sasa hizo propaganda zako nyingine mie sizielew USIPANIC MKUU

Mkuu ulihadithiwa au ulifuatilia, Arsernal ilipomaliza ligi bila kufungwa 2003/2004, ndipo wadau wa soka wakasema hee, mwaka huu EUFA tutamkoma aresernal, unajua nini kilitokea, daaa, MAANA UMEZIDI KUJIKANYAGA, AFU UNA KONFO WAMWAMBIA MWENZIO ASIPANIKI, DUU, arsena akiwa katika kundi kama kama ifuatavyo

[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]Team[/TH]
[TH="width: 20, bgcolor: #F2F2F2"]Pld[/TH]
[TH="width: 20, bgcolor: #F2F2F2"]W[/TH]
[TH="width: 20, bgcolor: #F2F2F2"]D[/TH]
[TH="width: 20, bgcolor: #F2F2F2"]L[/TH]
[TH="width: 20, bgcolor: #F2F2F2"]GF[/TH]
[TH="width: 20, bgcolor: #F2F2F2"]GA[/TH]
[TH="width: 20, bgcolor: #F2F2F2"]GD[/TH]
[TH="width: 20, bgcolor: #F2F2F2"]Pts[/TH]
6240116+510
631267−110
6231118+39
6024613−72
[TD]

[TD="align: left"] Arsenal [/TD]

[TD="align: left"] PSV Eindhoven [/TD]

[TD="align: left"] Panathinaikos [/TD]

[TD="align: left"] Rosenborg [/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

yaani aliyemaliza bila kufungwa england, alishinda mechi 2 tu kati ya sita na wachovu wa hapo juu, afu arsernal mwisho hakufika hata robo.Aliishia round ya pili akitolewa na bayern ambayo haikuwa katika form hasa, kipindi hicho wababe barca na madrid wa kawaaaida timu zinashukuru zipate kubeba UEFA.

Kama huna historia huo ndio ulikuwa mwanzo wa ugonvi kati ya sep blatter na epl, aligomba sana kwamba tumewaona kina barca na madrid wakiwa katika viwango lakini hawakuwahi kumaliza ligi bila kupoteza mechi, akawasihi wajitafakari juu ya kiwango cha timu zao, mana bingwa wao kabomolewa vibaya, na kasumbuliwa na timu za kawaida sana.

Nafikiri unajua kwamba kwa sasa spain wapo juu, hebu cheki vumbi lao, mwaka jana EUROPA bingwa servila, 2013 atletico, mwaka huu servila yupo fainali Europa, madrid na atletico mwaka jana final mwaka huu barca, tena mwaka jana barca alitolewa na atl, mwaka huu atlet katolewa na madrid. vipi hapoo?
 
Hawa jamaa wengi wao hawafuatilii chochote nje ya premier. Atleti 2013/14 alibeba ndoo ya ligi mbele ya Barca, tena Camp Nou, Barca angeshinda ndoo ilikuwa yake. Wanataja Barca na Madrid tu bado.

Madrid alipewa nafasi ya kubeba ndoo pia msimu wa 2013/14 baada ya Malaga kuwatibulia Atleti, Madrid angeshinda games zote zilizobaki angekuwa bingwa, guess who stopped them......Celta Vigo(loss) na Valencia(draw).

2014/15 Madrid alikuwa na record 22 victories in all competitions, guess who ended it....Valencia. Liverpool was part of the 22.

Barca kachukua Liga juzi, alipigwa na Getafe, Real Sociedad, na Celta pia. Bado watasema La Liga ni nyepesi na inatabirika.

Chelsea katangaza ubingwa na mechi ngapi mkononi?? Wanajua wenyewe, Barca katangazwa bingwa with only a game to play. Bado Premier ina ushindani na haitabiriki, smh.

BIG UP MKUU, AFU WAMESAHAU KUWA BARCA WASHASOTA MIAKA MINNE BILA KUSHIKA NAFASI YA 3, LA LIGA,

afu wakati madrid akiwadhalilisha vinara wao Mn U kipindi hicho, na akachukua Champion Ligi 2000, kwa kukutana na ndugu zao, valencia, madrid alikosa nafasi ya nne la liga, aliingia kwa sababu ya kuwa bingwa, sasa mbona hayo hawayaoni,

hivi hawajasoma kwamba kwa sasa waingereza wanalialia kwa mzoefu Man U KUKOSEKANA, huku kina atletoco wanapishana tu nusu na fainali, huku mdogo wao servilla akijichukulia EUROPA ambako hiyo mizoga ya epl huwa inashiriki, na sasa final ni dimpro na servila, tena nusu waliingiza timu mbili, epl hawakufika robo washiriki wakiwa liver, tottenham na everton, kila mmojaalikula tatu tau na everton 5, sasa ugumuu wao unatusaidia nini wadau wa soka.

HATA HESABU ZA DARASA LA PILI NI NGUMU SANA KWA WANAFUNZI WA DARASA LA PILI, NA ANAEJUA ANASIFIWA.
 
Fact: Mourinho alifundisha kwa miaka mi-3 La
Liga, aliambulia Copa del Rey 1 na La Liga 1 tu.
Alichemka vibaya akakimbia kufukuzwa.
Fact: Mourinho alipokuwa La Liga alishindwa soka
akaanza visingizio kila siku, mara refs, Uefa and
Unicef conspiracies, potato fields, tight schedule,
hunting with a Cat, snitches, et cetera.
Fact: Mourinho alishindwa soka akaishia ku-attack
makocha wengine physically. Recall what he did to
Tito.
Fact: Mchezaji wa daraja la pili Spain, anaingia
moja kwa moja Premier League na kupata number.
Ayoze Perez, Newcastle.
Fact: Ex players wa La Liga na walioonekana wa
kawaida ndio wanai-run Premier. Yaya Toure,
Fabregas, Sanchez, Alex Song, Juan Mata, Ander
Herrera, et cetera.
Fact: Fifpro iko dominated na La Liga players
miaka kibao. Best league......where are your best
players??
Fact: Premfaces hamna facts ku-support
arguments zenu. by DE SOUZ

BIG UP, BIG UP MKUU, huyu Mourinho anawacheka kijanja hawa waingereza, tena anawadhalilisha sana, hivi babu kama Etoo, aliyeamua kujiendea uarabuni, yeye akamrudisha aje acheze hiyo ligi ya kukata na shoka tena Kkwenye timu kubwa sana, na babu pamoja na misuli kuchoka, akawa anawpiga chenga na kawafunga funga sana, haya huyo Drogba, na ni moto epl katika uzee huu, na huyo Mikel Obi, hivi tuwe wakweli kule la liga wangecheza timu ipi na umri huu.

Hebu tazama costa kabla ya ukorofi na majeruhi alipokuwa anafunga kiakili kwa hawa mabeki wehu, mtazame Sanchez ni tegemeo Arsernal huku Barca alikuwa mmoja wa wachezaji, angalia spidi ya Yahya Toure huko epl, anafunga na ni passi master, mcheki master Kun Arguero, afu belarin kinda la b, la Barca lina namba arsernal, aahaaa, jamani, hivi hawa mabeki wenu waliosema Pique asiwe mregegevu waliofikri mpira nguvu tuu, si ndo wanaopigwa matobo na kina Messi, hivi ukuta wa CHELSEA chini ya Mourihnho si umepigwa 3-1 na madrid fainali ya international champion cup 2013 Agosti, ronaldo alipiga mawili, marcelo 1.
Na nafikiri anelka atarudi katika hii ligi yenye ushindani bila akili, hivi kwa kiwango cha lampard angechukuwa hata namba ya middle wa getafe, au hamwuangalii.

Haya, nawapa wadau wa epl home work, hivi hamjui kuwa mafoward, mamido na mabeki wa epl hawatambi mashindano makubwa kama vile world cup, europa nations cup, na confederation cup, hamjui kuwa ronaldo alipotea tuu kuja huko ndo akaokoa jahazi la epl kuwa na fifa world player, vipi hapoooooo? hamwelewi au? hatusemi mpende la liga, ila pigeni kimya kwa msiyo yajua.
 
Sevilla imeanza kubeba uefa ndogo yaani europa cup msimu wa 2006 na 2007 mfululizo ikiwa na kina Dani Alves,Saviola,Jesus Navas,Kanoute,Fabiano,kipa Palop nk na ikibeba msimu final vs kocha wao wa zamani Juande Ramos akiwa na Dnipro ya Ukraine maana walibeba misimu miwili mfululizo akiwa kama kocha wa Sevilla 2006 na 2007,wamebeba 2014 wakibeba sasa ni mara 2 mfululizo kwa mara ya pili na itakuwa inaongoza kwa kubeba mara nyingi europa ligi,sasa wana 3 na Juve,hiyo inaonyesha Spain ina timu kali na zina vipaji tofauti na England ligi ya ma chatterbox na kutangazwa sana kuliko uwezo walio nao.
 
Back
Top Bottom