Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

hata huyo mourinho na chelsea yake ingekuwA spain ingwefungwA nA hatA akinA cordoba.deportivo.eibar . elche n.k

Morinho kelele nyingi!
Hata jana Europa imechukuliwa na timu ya Spain...!
 
Mkuu umemsahau Radamel Falcao

usifananishe mchezaji na ukafananisha na timu huwezi ukamtoa ,messi barca na ukampeleka aston vila au new castle na ukafikiria messi atafanya kama vile anavyo kuweko barca ubora wa mchezaji unakuja na timu yenyewe mfano dimaria alipokua madrid alikua moto wa kuotea mbali kaja man u kakuta man u imepoteza dira lakini di maria huyu huyu wacha aende chelsea uone mfano mwengine diego costa kaja epl gem za mwanzo kila gem alikua anascore nafikiri mpaka akaja kua majeruhi ni mtu wa tatu alio na magoli mingi msimu huu ana magoli 20 kati ya 20 penalt ni 1 tu agero 26 kati ya hayo penalt 5 na si kama chelsea walikua hawapti penalt ila mpigaji alikua sio yeee ni hazard nafiki hapa umenifahamu namaanisha usichukue ubora wa mchezaji tuu pia angalia na timu yule mchezaji wapi alikua na wapi kaenda mfano mwengine yaya toure alikua barca mwishoni kiwango kikaanza kupungua kaja man city msimu uliopita tumeona alivyo shine fabregas na alexis sanches tunawaona wanavyo sumbua hapo epl
 
usifananishe mchezaji na ukafananisha na timu huwezi ukamtoa ,messi barca na ukampeleka aston vila au new castle na ukafikiria messi atafanya kama vile anavyo kuweko barca ubora wa mchezaji unakuja na timu yenyewe mfano dimaria alipokua madrid alikua moto wa kuotea mbali kaja man u kakuta man u imepoteza dira lakini di maria huyu huyu wacha aende chelsea uone mfano mwengine diego costa kaja epl gem za mwanzo kila gem alikua anascore nafikiri mpaka akaja kua majeruhi ni mtu wa tatu alio na magoli mingi msimu huu ana magoli 20 kati ya 20 penalt ni 1 tu agero 26 kati ya hayo penalt 5 na si kama chelsea walikua hawapti penalt ila mpigaji alikua sio yeee ni hazard nafiki hapa umenifahamu namaanisha usichukue ubora wa mchezaji tuu pia angalia na timu yule mchezaji wapi alikua na wapi kaenda mfano mwengine yaya toure alikua barca mwishoni kiwango kikaanza kupungua kaja man city msimu uliopita tumeona alivyo shine fabregas na alexis sanches tunawaona wanavyo sumbua hapo epl

Kwahiyo unachosema man united ni team ndogo !! Si ndio?
 
Kwahiyo unachosema man united ni team ndogo !! Si ndio?

mkuu umesoma uzuri maneno yangu sijasema man u ni team ndogo kwa msimu wa 2014/2015 man u kiwango cha team kilipoteza uwezo wake 1. baada ya wachezaji wake kuondoka kutokana na kua wazee e.g rio fernand, gigs, na wengine kuondoka kwa uhamisho kina vidic; evra, and chacharito ukiangalia ule mfumo wote wa man u uliondoka pale old traford na ndio ukaona wanaklula vichapo tuu hii yote inatokana na wachezaji kutokua pamoja hiyo inachangia usishangae msimu unao kuja man u akawa na moto na hata kuchukua kombe mimi si mpenzi wa man u jua hilo
 
Wachezaji wanaocheza EPL wanaofit kucheza laliga hawazidi wa5. Wanaocheza laliga wote wanafit kucheza elp.
 
Wachezaji wanaocheza EPL wanaofit kucheza laliga hawazidi wa5. Wanaocheza laliga wote wanafit kucheza elp.

huo ni uongo kwani wachezaji waliotoka spain wamekuja epl na wakafanikiwa..!? ili ufanikiwe unatakiwa uwendane na mfumo utakaoukuta kwenye timu,lakini kama hautaendana na mfumo basi popote uwendapo utafeli tuu.
 
Ni kwel asemayo bcoz hata ukiangalia wafungaji wa lig ya England na la liga ni tofaut bcoz wakat cristian yuko man united alikuwa hazid magol 36 kwa miaka yote aliyoitumikia timu hiyo but angalia kwanzia ametuwa la liga anafunga zaidi ya goli 45 na si ajabu so mi nadhan england kuna upizan mkubwa kuliko la liga

unaongelea hii hii ligi ambayo wachezaji kama wa stoke city wameruhusiwa kuua uwanjani?? mabeki wa ligi ya england sio wachezaji,,, wale ni vibaka wazoefu
 
unaongelea hii hii ligi ambayo wachezaji kama wa stoke city wameruhusiwa kuua uwanjani?? mabeki wa ligi ya england sio wachezaji,,, wale ni vibaka wazoefu

Ahahahahahahahahahaha ndo maana hata ule uchezaji wa vurugu vurugu wa Jose Mourinho ulipendwa sana kule Engaland.
Mpira wa hovyo sana, wanakamiana harafu hakuna kinachochezeka cha maana.
 
Asiyekuelewa basi tena!!
Tatizo hapa watu wanaangalia timu kubwa tuu kwa kuwa zimefungwa na barca basi wanaoshia kusema epl mbovu, epl suala la ushindani ni kitu kingine, barca na madrid wangekoma, hii haina ubishi! Majembe yaliyokuwa la liga yanastruggle Epl au yamechukua miaka mitatu kuonyesha cheche, ebu wacheki hao waliotajwa na huyu ndugu niliyemquote kisha wacheki kina ronaldo na pia yule kinda wa arsenal mmexico nimemsahau jina, wanaburuza la liga balaa tena msimu wa kwanza tu! hata ryo miyoichi anatesa la liga sasa hivi, epl kachemsha kabisa!

wala usifananishe hivyo mkuu,, na vipi watu kama kina thierry henry, michael owen, chicharito, alexis sanchez, david silva, sergio aguero, mkali miguel perez cuesta, florent stephane sinama pongolle ama dogo profesa mtaalam wa kupiga krosi za hatari kaka jermaine lloyd pennant?? hawa wote ama walitoka ligi mbovu wakiwa wanaonekana wa kawaida tu wakaja ligi bora wakatusua ama walitoka ligi bora wakiwa wakali wakaenda hiyo ligi mbovu na wakashindwa kuimudu vile vile kwahiyo sehemu nzuri sana ya kulinganisha ubora wa ligi ni uefa ambako wababe wa ligi zote hukutana
 
Kuna mambo mawili unatakiwa uyajue unapotazama hizi ligi mbili...
1.Kuna tofauti ya ligi bora(la liga) na ligi maarufu(epl)...mourinho ni mtu anayependa umaarufu,kwa hiyo usitegemee akazungumza tofauti na alichosema..
2.ligi ya spain(la liga) ni all about kuchezea mpira nakutumia akili wakat epl ni kutumia nguvu,unaweza kufananisha kwa ukaribu sana epl na rugby au WWE...
Mtu unaposema ligi ya spain niya timu mbili...unaangalia je hizo timu mbovu za spain zikikutana na bora za epl huwa kinatokea nini??hapo utapata majibu sahihi kuliko kukariri maelezo ya waandishi wa magazeti ya hapo tanzania...
 
Mkuu huo ndo ukweli,timu iliyofungwa na r,madrid gori9, ndo iliyofungwa barc gori8,wachezaji wake hawajalipwa mishahala yao km miezi5 hivi,epl ulishasikia timu imeshindwa kulipa wachezaji?

we nae mishahaLA imekuaje tena??
 
Wakuu hivi mnafikiri jose mourinho angesema nini ili aonekane bora kwa kuchukua ubingwa zaid ya kusifu ligi ya england.

hebu jiulize katika ligi ya england mwaka huu mbabe wao chelsea huko kwenye ushindani huko kafungwa mechi tatu tu kati ya mechi 37, hebu tuwe wapembuzi, hivi ni kweli kiwango cha chelsea ni cha kupoteza mechi tau tu kati ya gem 37 hadi sasa, ni kweli? hamjua kuwa pamoja na ubora barca kapoteza mechi nne, na madrid kapoteza mechi 6 na atletico pia 6, vipi hapo?
Hivi chelsea ana ubora sana wa mpira na ufundi wa kutosha au kuna tatizo uingereza, na ushindani wao wanauonyesha wapi, maana uropa alikuwa liver, tottenham na everton, hamna aliyefika robo, ndo kwanza everton anawadindia kina man U na kuwavuruga, avu mpira huo huo usio na ubunifu kaenda kucheza na timu ya ukraine akala 5, hapo mourinho pointi yake ipo wapi?

Hivi PSG si ndo kamtoa CHELSEA, msimu huu huu, pia si amekutana na barca mara nne yaani makundini na robo, si kapigwa bao 8-2 na BARCA katika mech 4, chelsea si katoa 3-3 katika mechi mbili na hao PSG. Tuwe wakweli hivi kina sevilla, valencia, vila real, athletic bilbio ni sawa na kina newcastle, sunderland, hull city n.k. hivi kule EUROPA SPAIN si walikuwa na timu tatu zikatoana zenyewe na sasa servilla anacheza final, huku waingereza ni very poor hawakufika robo ya EUROPA WALA CHAMPION LEAGUE.

Hiyo ligi yenye ushindani, katika mafanikio ya CHAMPION LEAGUE na EUROPA inashika nafasi ya tatu, wa kwanza spain wa pili italia wa tatu england-CL, EUROPA wa kwaz italia wa pili spain na wa tatu ni England, kwa over all hata baada ya majina ya mashindano kubadilishwa badilishwa.

BARCA NA MADRID kweli wanavuruga ushindani wa mpira spain, ila hawaishii huko hata mashindano makubwa ulaya kwa ujumla, wapo katika viwango vya juu mno, mana kama tano tano au saba saba wanafunga champion league na home pia.
Hivi hatuna misimu saba timu za spain lazima zitoe dozi ya magoli zaidi ya 5 ulaya, si hapa kati wameongeza kidogo katika mechi moja wamefunga funga saba saba, ukijumlisha kuna timu zimepigwa zadi ya 10, wote kwa wakati tofauti, mbona washaulifu, au soka si hobi yenu, mmetutembelea tu wadau?

MOURINHO anajua ila lazima awapumbaze waingereza, kama makocha wa ulaya wanaona barca na madrid wanatawala sana ligi yao wawastopishe kwenye CHAMPION LEAGUE basi, si kuleta porojo. Kuna zaidi ya miaka saba champion league anayemtoa BARCA au MADRID au tim ya SPAIN nyingine anakuwa bingwa, hivi hilo mourinho na ninyi mashabiki hamlioni au kiburi, kumbuka hilo. Yaani tim ikiitoa tim ya spain ndo inahakikisha high peak labda ikutane tena na hao hao, kumbuka UEFA
· MAN U aliitoa BARCA 2009 akabeba
· INTER aliitoa BARCA 2010 akabeba
· Chelsea aliitoa BARCA 2012 akabeba
· BAYERN aliitoa BARCA na DORTIMUND aliitoa Madrid 2013, fainali, BAYERN akabeba
· 2014 wenyewe kwa wenyewe, nakuhakikishia atletico angeingia na mwingine angebeba
· Leo hii waliingiza tim 3 robo afu 2 nusu, tena kwa sababu zilitoana zenyewe, hivi ni tim za kubeza hizi kama kweli tupo serious na timamu pia juu ya mpira.



Kuhusu ushindani, hata Afrika ya Mashariki ligi ya bongo ndo yenye ushindani mkubwa, vipi? tumlete TP MAZEMBE na ENYIMBA tutakuwa tunawafunga, porojo na ukweli havikai pamoja, mimi naangalia ligi ya UINGEREZA sana mana ina mvutano, ila mpira mbovu sana, hivi kwa viwango vya kina ARSERNAL miaka yote top four, angekuwa spain angemaintain kweli, hivi arsernal ndo mpiga pasi uingereza hivi anafikia kiwango cha upigaji pasi wa SERVILLA, VILA REAL, GETAFE, REAL ZARAGOZA na wengineo, na wanaleta makombe kwa zam nchini kwao.

Atletico madrid ingekuwa uingereza miaka miwli hii ingeweza chukua ubingwa, sema kule kakutana na wababe, ana bahati mbaya mno.

mkuu maneno yamekutoka ka unayajengea ghorofa aisee ila naunga mkono hoja kwa zaidi ya asilimia laki kumi mkuu
 
we nawe... Sasa wachezaji ukiona wametoka spain wameenda epl ni kwamba wamechokwa na hawana namba za kudumu.. Ni mara chache tu mchezaji anayewika ndo akaenda epl


ila spain ukiona tumemchukua mchezaji epl bas tumemchukua aliye bora kuliko wote huko england😕


Hata hvyo hao wachezaj wote uliowataja wametamba sana huko england.. Kwan shughuli ya costa huijui?


cheki huyu jamaa nae! yani alivoandika utasema labda ana kadi ya mpiga kura ya spain,, eti "ila spain ukiona TUmemchukua mchezaji epl bas ujue TUmemchukua alie bora kuliko wote england"!!! yani yale yale ya gari ya baba ndege ya baba mpaka huku!
 
Back
Top Bottom