Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
hata huyo mourinho na chelsea yake ingekuwA spain ingwefungwA nA hatA akinA cordoba.deportivo.eibar . elche n.k
Morinho kelele nyingi!
Hata jana Europa imechukuliwa na timu ya Spain...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata huyo mourinho na chelsea yake ingekuwA spain ingwefungwA nA hatA akinA cordoba.deportivo.eibar . elche n.k
Mkuu umemsahau Radamel Falcao
usifananishe mchezaji na ukafananisha na timu huwezi ukamtoa ,messi barca na ukampeleka aston vila au new castle na ukafikiria messi atafanya kama vile anavyo kuweko barca ubora wa mchezaji unakuja na timu yenyewe mfano dimaria alipokua madrid alikua moto wa kuotea mbali kaja man u kakuta man u imepoteza dira lakini di maria huyu huyu wacha aende chelsea uone mfano mwengine diego costa kaja epl gem za mwanzo kila gem alikua anascore nafikiri mpaka akaja kua majeruhi ni mtu wa tatu alio na magoli mingi msimu huu ana magoli 20 kati ya 20 penalt ni 1 tu agero 26 kati ya hayo penalt 5 na si kama chelsea walikua hawapti penalt ila mpigaji alikua sio yeee ni hazard nafiki hapa umenifahamu namaanisha usichukue ubora wa mchezaji tuu pia angalia na timu yule mchezaji wapi alikua na wapi kaenda mfano mwengine yaya toure alikua barca mwishoni kiwango kikaanza kupungua kaja man city msimu uliopita tumeona alivyo shine fabregas na alexis sanches tunawaona wanavyo sumbua hapo epl
Kwahiyo unachosema man united ni team ndogo !! Si ndio?
Wachezaji wanaocheza EPL wanaofit kucheza laliga hawazidi wa5. Wanaocheza laliga wote wanafit kucheza elp.
Ni kwel asemayo bcoz hata ukiangalia wafungaji wa lig ya England na la liga ni tofaut bcoz wakat cristian yuko man united alikuwa hazid magol 36 kwa miaka yote aliyoitumikia timu hiyo but angalia kwanzia ametuwa la liga anafunga zaidi ya goli 45 na si ajabu so mi nadhan england kuna upizan mkubwa kuliko la liga
unaongelea hii hii ligi ambayo wachezaji kama wa stoke city wameruhusiwa kuua uwanjani?? mabeki wa ligi ya england sio wachezaji,,, wale ni vibaka wazoefu
Asiyekuelewa basi tena!!
Tatizo hapa watu wanaangalia timu kubwa tuu kwa kuwa zimefungwa na barca basi wanaoshia kusema epl mbovu, epl suala la ushindani ni kitu kingine, barca na madrid wangekoma, hii haina ubishi! Majembe yaliyokuwa la liga yanastruggle Epl au yamechukua miaka mitatu kuonyesha cheche, ebu wacheki hao waliotajwa na huyu ndugu niliyemquote kisha wacheki kina ronaldo na pia yule kinda wa arsenal mmexico nimemsahau jina, wanaburuza la liga balaa tena msimu wa kwanza tu! hata ryo miyoichi anatesa la liga sasa hivi, epl kachemsha kabisa!
Mkuu huo ndo ukweli,timu iliyofungwa na r,madrid gori9, ndo iliyofungwa barc gori8,wachezaji wake hawajalipwa mishahala yao km miezi5 hivi,epl ulishasikia timu imeshindwa kulipa wachezaji?
nafikili kama sikosei ilikatagwa pointi 10 kwa kutowalipa wachexaji wake mishahara
Akichukua JUVE?? Achukulie wapi kwa mfano?? Au tfanye kachukua, lakini tuseme ukweli kwamba samtaimz kuna bahati... lakini bahati kwa miaka mitano mfululizo??
Google ni rafiki mzuri. Si tungeendelea kudanganyana tu. Au ulitaka niropoke tu from no where?
Naona umejiandaa kubishana sio kueleweshana. Kwenye mpira lolote linaweza kutokea na ndio maana hata Bayern akicheza na JKT oljoro kwenye betting hawezi akapewa odds 1.00.
Wakuu hivi mnafikiri jose mourinho angesema nini ili aonekane bora kwa kuchukua ubingwa zaid ya kusifu ligi ya england.
hebu jiulize katika ligi ya england mwaka huu mbabe wao chelsea huko kwenye ushindani huko kafungwa mechi tatu tu kati ya mechi 37, hebu tuwe wapembuzi, hivi ni kweli kiwango cha chelsea ni cha kupoteza mechi tau tu kati ya gem 37 hadi sasa, ni kweli? hamjua kuwa pamoja na ubora barca kapoteza mechi nne, na madrid kapoteza mechi 6 na atletico pia 6, vipi hapo?
Hivi chelsea ana ubora sana wa mpira na ufundi wa kutosha au kuna tatizo uingereza, na ushindani wao wanauonyesha wapi, maana uropa alikuwa liver, tottenham na everton, hamna aliyefika robo, ndo kwanza everton anawadindia kina man U na kuwavuruga, avu mpira huo huo usio na ubunifu kaenda kucheza na timu ya ukraine akala 5, hapo mourinho pointi yake ipo wapi?
Hivi PSG si ndo kamtoa CHELSEA, msimu huu huu, pia si amekutana na barca mara nne yaani makundini na robo, si kapigwa bao 8-2 na BARCA katika mech 4, chelsea si katoa 3-3 katika mechi mbili na hao PSG. Tuwe wakweli hivi kina sevilla, valencia, vila real, athletic bilbio ni sawa na kina newcastle, sunderland, hull city n.k. hivi kule EUROPA SPAIN si walikuwa na timu tatu zikatoana zenyewe na sasa servilla anacheza final, huku waingereza ni very poor hawakufika robo ya EUROPA WALA CHAMPION LEAGUE.
Hiyo ligi yenye ushindani, katika mafanikio ya CHAMPION LEAGUE na EUROPA inashika nafasi ya tatu, wa kwanza spain wa pili italia wa tatu england-CL, EUROPA wa kwaz italia wa pili spain na wa tatu ni England, kwa over all hata baada ya majina ya mashindano kubadilishwa badilishwa.
BARCA NA MADRID kweli wanavuruga ushindani wa mpira spain, ila hawaishii huko hata mashindano makubwa ulaya kwa ujumla, wapo katika viwango vya juu mno, mana kama tano tano au saba saba wanafunga champion league na home pia.
Hivi hatuna misimu saba timu za spain lazima zitoe dozi ya magoli zaidi ya 5 ulaya, si hapa kati wameongeza kidogo katika mechi moja wamefunga funga saba saba, ukijumlisha kuna timu zimepigwa zadi ya 10, wote kwa wakati tofauti, mbona washaulifu, au soka si hobi yenu, mmetutembelea tu wadau?
MOURINHO anajua ila lazima awapumbaze waingereza, kama makocha wa ulaya wanaona barca na madrid wanatawala sana ligi yao wawastopishe kwenye CHAMPION LEAGUE basi, si kuleta porojo. Kuna zaidi ya miaka saba champion league anayemtoa BARCA au MADRID au tim ya SPAIN nyingine anakuwa bingwa, hivi hilo mourinho na ninyi mashabiki hamlioni au kiburi, kumbuka hilo. Yaani tim ikiitoa tim ya spain ndo inahakikisha high peak labda ikutane tena na hao hao, kumbuka UEFA
· MAN U aliitoa BARCA 2009 akabeba
· INTER aliitoa BARCA 2010 akabeba
· Chelsea aliitoa BARCA 2012 akabeba
· BAYERN aliitoa BARCA na DORTIMUND aliitoa Madrid 2013, fainali, BAYERN akabeba
· 2014 wenyewe kwa wenyewe, nakuhakikishia atletico angeingia na mwingine angebeba
· Leo hii waliingiza tim 3 robo afu 2 nusu, tena kwa sababu zilitoana zenyewe, hivi ni tim za kubeza hizi kama kweli tupo serious na timamu pia juu ya mpira.
Kuhusu ushindani, hata Afrika ya Mashariki ligi ya bongo ndo yenye ushindani mkubwa, vipi? tumlete TP MAZEMBE na ENYIMBA tutakuwa tunawafunga, porojo na ukweli havikai pamoja, mimi naangalia ligi ya UINGEREZA sana mana ina mvutano, ila mpira mbovu sana, hivi kwa viwango vya kina ARSERNAL miaka yote top four, angekuwa spain angemaintain kweli, hivi arsernal ndo mpiga pasi uingereza hivi anafikia kiwango cha upigaji pasi wa SERVILLA, VILA REAL, GETAFE, REAL ZARAGOZA na wengineo, na wanaleta makombe kwa zam nchini kwao.
Atletico madrid ingekuwa uingereza miaka miwli hii ingeweza chukua ubingwa, sema kule kakutana na wababe, ana bahati mbaya mno.
we nawe... Sasa wachezaji ukiona wametoka spain wameenda epl ni kwamba wamechokwa na hawana namba za kudumu.. Ni mara chache tu mchezaji anayewika ndo akaenda epl
ila spain ukiona tumemchukua mchezaji epl bas tumemchukua aliye bora kuliko wote huko england😕
Hata hvyo hao wachezaj wote uliowataja wametamba sana huko england.. Kwan shughuli ya costa huijui?
Ronaldo halisi,Ronaldo de lima alikuwa AC MILAN.duhh kumbe ronaldo 2008 alikua madrid ??