Mourinho bingwa kwa kuuwa vipaji vya wachezaji.

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
1.Alianza kwa kuuwa kipaji cha KAKA. KAKA alimsajili akitokea AC Milan akiwa ametokea kuchukua ballon di'or.

2. Akahakikisha anammaliza kiungo bora wa wakati huo NURI SAHIN. SAHIN alimsajili akitokea kubeba ubingwa wa ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga.

3. Ona kinachomkuta SANCHEZ pale united kwa sasa. Sanchez wa Arsenal na huyu wa united ni tofauti ya mbingu na ardhi. Makali yote yamekwisha.

4. Fred. Hahahahah, kinachoendelea kwa huyu nyota wa zamani wa Shaktary Donesky ni aibu na fedheha kwake. Kwa sasa hata kwenye bench hapangwi.

5. Andre Hererra. Kwa sasa ni bench warmer! Mou ameshindwa kabisa kumwamini huyu jamaa. Hiki ni kipaji kingine kinachopotea kwa kutoaminiwa na huyu mou. Erick Baily, Juan Mata, Raul Albiol na hata kina Gonzalo Higuan wote walimkimbia huyu bwana sababu hawakuona future kwake.

Kama si kujiongeza kwa wachezaji kama Mo Salah, Kevin De Bruyer saa hizi wangekuwa hawajulikani...
Mou ni Muua vipaji.
 
072

huyo ndio mou
 
Mourinho awezi kuua kipaji cha mchezaji, Mchezaji anaua kipajichake mwenyewe. Kama mchezaji hapewi nafasi anatakiwa ahame timu akajaribu kwingine. Ukiona Kocha hakutumii ujue aridhiki na unachokifanya . Kama mchezaji unatakiwa utafute fursa sehemu utakayo kubalika.
 
Pumba tu hizi, Manchester ni team kubwa ina wachezaji wengi. Squad rotation ni kazi sana. Akimpanga Herrera, Fred na Pogba utasema ameua kipaji cha Matic, Pereira na Fellaini. Kocha ana assess fitness na form ya wachezaji kabla ya mchezo ndo anapanga kikosi. Zidane alikua na kikosi kikubwa lakini rotation ikamshinda, wakamwambia kuhusu kujenga timu kaikimbia. Sanchez wa Arsenal ndo huyu huyu wa united. Tofauti ni kutoka kwenye mediocrity kuja kwenye A-list. Huyo Fred anahitaji kujua wachezaji wenzake wanachezaje kabla ya kupangwa. Baily out of form, si umeona Lindelof alikuja anambwela mbwela tu lakini sasa hivi anaosha kweli. Luke Shaw alikua na career ending injury lakini sasa hivi ana shine kinoma, what else do you need?
 
Hata mm jamaa nimemuona pumba tu kaka kaenda pale majeruhi kamtaja herrera ni kweli ana kipaji lakini kiasili si kiungo mkabaji yule kiungo mshambuliaji sanchez kiwango kilishuka toka akiwa arsenal wengi tulifikir labda hafurahishwi na uwepo wa wenger fred kaharibiwa vipi? Nchi hii mpira hatujui mabingwa wa kuongea
 
1.Alianza kwa kuuwa kipaji cha KAKA. KAKA alimsajili akitokea AC Milan akiwa ametokea kuchukua ballon di'or.

2. Akahakikisha anammaliza kiungo bora wa wakati huo NURI SAHIN. SAHIN alimsajili akitokea kubeba ubingwa wa ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga.

3. Ona kinachomkuta SANCHEZ pale united kwa sasa. Sanchez wa Arsenal na huyu wa united ni tofauti ya mbingu na ardhi. Makali yote yamekwisha.

4. Fred. Hahahahah, kinachoendelea kwa huyu nyota wa zamani wa Shaktary Donesky ni aibu na fedheha kwake. Kwa sasa hata kwenye bench hapangwi.

5. Andre Hererra. Kwa sasa ni bench warmer! Mou ameshindwa kabisa kumwamini huyu jamaa. Hiki ni kipaji kingine kinachopotea kwa kutoaminiwa na huyu mou. Erick Baily, Juan Mata, Raul Albiol na hata kina Gonzalo Higuan wote walimkimbia huyu bwana sababu hawakuona future kwake.

Kama si kujiongeza kwa wachezaji kama Mo Salah, Kevin De Bruyer saa hizi wangekuwa hawajulikani...
Mou ni Muua vipaji.
anzia kule kwa Shevyshenko, Adrian Mutu, MArio Melchiot, Salah hakumpa nafasi, akamuondoa KDB, Lukaku, na debe la wengine
 
1.Alianza kwa kuuwa kipaji cha KAKA. KAKA alimsajili akitokea AC Milan akiwa ametokea kuchukua ballon di'or.

2. Akahakikisha anammaliza kiungo bora wa wakati huo NURI SAHIN. SAHIN alimsajili akitokea kubeba ubingwa wa ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga.

3. Ona kinachomkuta SANCHEZ pale united kwa sasa. Sanchez wa Arsenal na huyu wa united ni tofauti ya mbingu na ardhi. Makali yote yamekwisha.

4. Fred. Hahahahah, kinachoendelea kwa huyu nyota wa zamani wa Shaktary Donesky ni aibu na fedheha kwake. Kwa sasa hata kwenye bench hapangwi.

5. Andre Hererra. Kwa sasa ni bench warmer! Mou ameshindwa kabisa kumwamini huyu jamaa. Hiki ni kipaji kingine kinachopotea kwa kutoaminiwa na huyu mou. Erick Baily, Juan Mata, Raul Albiol na hata kina Gonzalo Higuan wote walimkimbia huyu bwana sababu hawakuona future kwake.

Kama si kujiongeza kwa wachezaji kama Mo Salah, Kevin De Bruyer saa hizi wangekuwa hawajulikani...
Mou ni Muua vipaji.
Hivi kweli sahini alikuwa anaweza kumuweka benchi ozil? Acha masihara unajua kaka majeruhi yalivyomsumbua wee jamaa umeandika pumba

Pep kamuuza millito,zlatan,etoo na icard hapo pamekaaje? Huyo hasemwi timu inafanya vizur
 
Mourinho awezi kuua kipaji cha mchezaji, Mchezaji anaua kipajichake mwenyewe. Kama mchezaji hapewi nafasi anatakiwa ahame timu akajaribu kwingine. Ukiona Kocha hakutumii ujue aridhiki na unachokifanya . Kama mchezaji unatakiwa utafute fursa sehemu utakayo kubalika.
Kwani nini kinachomshawishi mpaka asajili? Siyo kiwango alichokiona kwake? Mou sio mvumilivu, ukiflop game kama mbili nakuwa hana imani tena na wewe.

Nakumbuka Modric alipoenda Madrid mwanzo game ilimkataa, akaja kuandamwa na majeruhi. Ila mwisho akaja kuibuka mtu muhimu pale madrid. Angekuwa ni Mou hakika angemtosa.
 
Kama amekununua alafu haufanyi alichotegemea anakuweka benchi. Ndio maana ana mataji mawili ya champion league , mawilili ya ligi pale ureno + ureno super cup , matatu baclays+ 4 league cup, copa delay ,comunity shild, 2 uefa uropa cup, Serea A, italia super cup na makombe mengine mengi.
Kwa ujumla amesha tumia wachezaji wengi kuna waliopata mafanikio wakiwa na Mourinho na kuna walioshindwa kufanya vizuri akiwa nao.
 
Modric alisajiliwa na mourinho hivi unakijua ulichoandika kweli mkuu au unaongozwa na chuki??

Chelsea transfer news: Jose Mourinho tried to sign Luka Modric at
images.jpeg
 
Kama amekununua alafu haufanyi alichotegemea anakuweka benchi. Ndio maana ana mataji mawili ya champion league , mawilili ya ligi pale ureno + ureno super cup , matatu baclays+ 4 league cup, copa delay ,comunity shild, 2 uefa uropa cup, Serea A, italia super cup na makombe mengine mengi.
Kwa ujumla amesha tumia wachezaji wengi kuna waliopata mafanikio wakiwa na Mourinho na kuna walioshindwa kufanya vizuri akiwa nao.
Achana nae hajui kama mondric alisajiliwa na mourinho hawa wana chuki tu
 
vip kuhusu huyu jamaa
Memphis Depay
huyu jamaa ni fundi sana aisee the Orange's
wako sasahivi kutokana na ule utatu pale
mbele muanganiko wa huyu jamaa
Leaft wing's. Ryan Babel
Cente fourd. Memphis Depay
Right wing's. Quincy Promes

Manyumbu walimuona jamaa boya ila Saiv anakichokifanya kule ni matusi.
 
Depay ata akirud leo Man u, hawezi fanya kitu anatakiwa aendelee kuimarisha kipaji chake ukouko alipo ili baadae awe mchezaji kamili.
 
Hakuna kipindi nilipomuona Mou mchawi na nuksi kama kile kipindi alivyokuwa anamsugulisha benchi Ricardo Kaka,namchukia mpaka kesho.
 
Kwani nini kinachomshawishi mpaka asajili? Siyo kiwango alichokiona kwake? Mou sio mvumilivu, ukiflop game kama mbili nakuwa hana imani tena na wewe.

Nakumbuka Modric alipoenda Madrid mwanzo game ilimkataa, akaja kuandamwa na majeruhi. Ila mwisho akaja kuibuka mtu muhimu pale madrid. Angekuwa ni Mou hakika angemtosa.
Mzee unajishushia heshima kwa mada kama hizi,Jose Mourinho ndio alimununua Luca Mondric kwenda Real Madrid na alichemsha msimu wa kwanza lakini alimvumilia,Pia ndio aliyemsajili Raphael Varane na kumpa namba akiwa na miaka 18 na kumpiga benchi mkongwe Pepe licha ya watu kumpinga now Varane ni moja ya mabeki bora duniani na Real Madrid now wanamshukuru Mourinho kwa ule uamuzi ingawa mwanzo walimponda
Mesut Ozil msimu wake bora kwenye soka ilikuwa Real Madrid chini ya Jose Mourinho

Waulize Essien,Drogba,Cole,Terry,Cech ,Lampard,Costa,Willian,Materazzi,Mota,Milito kuhusu Mourinho
 
vip kuhusu huyu jamaa
Memphis Depay
huyu jamaa ni fundi sana aisee the Orange's
wako sasahivi kutokana na ule utatu pale
mbele muanganiko wa huyu jamaa
Leaft wing's. Ryan Babel
Cente fourd. Memphis Depay
Right wing's. Quincy Promes

Manyumbu walimuona jamaa boya ila Saiv anakichokifanya kule ni matusi.
ulikua unaangalia game za united Depay akiwa anacheza? alieua confidence ya Depay ni van Gaal. Depay anamlaumu van Gaal kila kukicha.
 
Back
Top Bottom