Mourinho bingwa kwa kuuwa vipaji vya wachezaji.

Mourinho bingwa kwa kuuwa vipaji vya wachezaji.

1.Alianza kwa kuuwa kipaji cha KAKA. KAKA alimsajili akitokea AC Milan akiwa ametokea kuchukua ballon di'or.

2. Akahakikisha anammaliza kiungo bora wa wakati huo NURI SAHIN. SAHIN alimsajili akitokea kubeba ubingwa wa ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga.

3. Ona kinachomkuta SANCHEZ pale united kwa sasa. Sanchez wa Arsenal na huyu wa united ni tofauti ya mbingu na ardhi. Makali yote yamekwisha.

4. Fred. Hahahahah, kinachoendelea kwa huyu nyota wa zamani wa Shaktary Donesky ni aibu na fedheha kwake. Kwa sasa hata kwenye bench hapangwi.

5. Andre Hererra. Kwa sasa ni bench warmer! Mou ameshindwa kabisa kumwamini huyu jamaa. Hiki ni kipaji kingine kinachopotea kwa kutoaminiwa na huyu mou. Erick Baily, Juan Mata, Raul Albiol na hata kina Gonzalo Higuan wote walimkimbia huyu bwana sababu hawakuona future kwake.

Kama si kujiongeza kwa wachezaji kama Mo Salah, Kevin De Bruyer saa hizi wangekuwa hawajulikani...
Mou ni Muua vipaji.
We hujui Mpira kwa Kaka mfumo wa Madrid ulikuwa na playmaker wengi hafu akakumbwa na majeruhi, hafu Mournho anataka wachezaji wote wakabe ndo maana hata Cr7 alikuwa anamchukia, Iangalie InterMilan ya msimu wa 2009/2010 jinsi Etoo alivyokuwa anakaba ingawa ni straika, Iangalie Chelsea ya 2004/2007 namna alivyokuwa anawatu wakiwatuma kazi inafanyika.
Mournho kwa staili yake mpo Juventus ya sasa uone inawatu wanaojituma wakipata kocha mzuri.
 
Back
Top Bottom