Nachukua nafasi hii kuwapongeza Man U kwa muendelezo wa matokea mazuri hiyo inachagizwa na kocha bora na mwenye mafanikio makubwa katika tasnia ya soka.Sikuwahi fikiria kama kuna siku ningeweza kuipongeza timu hii ambayo kifupi naichukia sawasawa na Simba sport club.
Lakini kama mwana michezo sina budi kusifia mazuri.Hongereni kwa kuwa na matokeo mazuri na niseme mapema nawaona mkifika mbali sana michuano ya Ulaya na hata mkiwa mabingwa kabisa.
Man U ni pele lililo pata mkunaji(Jose Mourinho).
Siamini kama nimeweza kuwaandikia manure uzi JF