Mourinho hongera sana...

Mourinho hongera sana...

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
481
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Man U kwa muendelezo wa matokea mazuri hiyo inachagizwa na kocha bora na mwenye mafanikio makubwa katika tasnia ya soka.Sikuwahi fikiria kama kuna siku ningeweza kuipongeza timu hii ambayo kifupi naichukia sawasawa na Simba sport club.

Lakini kama mwana michezo sina budi kusifia mazuri.Hongereni kwa kuwa na matokeo mazuri na niseme mapema nawaona mkifika mbali sana michuano ya Ulaya na hata mkiwa mabingwa kabisa.

Man U ni pele lililo pata mkunaji(Jose Mourinho).

Siamini kama nimeweza kuwaandikia manure uzi JF
 
Sawa mkuu tusubiri
 
Hizi sifa zinastahili zitolewe kuanzia mwakani mwezi wa nne hivi na kuendelea. Kwa sasa bado ni mapema sana hizi sifa kutolewa.
 
Mimi kwenye mpira sishabikii timu ila ninamshabikia Mtu mmoja anaitwa Jose Mourinho...popote alipo ndo timu yangu hyo..akifukuzwa nahama nae...Jamaa namkubali sana, akiwepo kwenye bench la ufundi ndo furaha yangu..ni mpambanaji asiyekubali kushindwa anakaza mpak mwisho...penye ushindani ndo anapapenda...ana uwezo mkubwa wa kutambua mahali penye tatizo wakat game inaendelea...yeye ni master of tactics..bingwa wa mikakati ya ushindi japo ladha ya mpira hana....kwa makocha ambao hawajastaaf yupo nyuma ya carlo Anceloti tu...
 
Nilianza kuwa mshabiki wa Chelsea kwa ajili ya drogba ,na morinho wakati huo,drogba akaondoka,morinho akaondoka,ila nikabaki kuwa Chelsea,iliniuma zaidi morinho kwenda man u ,nilijua ataleta changamoto but ndo kocha nayemkubali sana,ila kwa sasa napenda Chelsea kuliko yeye,forever chelsea
 
Mimi kwenye mpira sishabikii timu ila ninamshabikia Mtu mmoja anaitwa Jose Mourinho...popote alipo ndo timu yangu hyo..akifukuzwa nahama nae...Jamaa namkubali sana, akiwepo kwenye bench la ufundi ndo furaha yangu..ni mpambanaji asiyekubali kushindwa anakaza mpak mwisho...penye ushindani ndo anapapenda...ana uwezo mkubwa wa kutambua mahali penye tatizo wakat game inaendelea...yeye ni master of tactics..bingwa wa mikakati ya ushindi japo ladha ya mpira hana....kwa makocha ambao hawajastaaf yupo nyuma ya carlo Anceloti tu...
mbele ya Pep Guardiola atabakia kuwa kibonde na mtumwa daima.
 
Nitajie kocha yeyte asiye mtumwa kwa Guardiola? Hata hvyo mbal na ubora wote alionao Guardiola bado hayupo kwenye top ten ya makocha bora wa mda wote but mourinho yupo...Mourinho akikaa na timu miaka miwili..guardiola huwa hachomoki (utajionea mwaka huu pia) msimu wa kwanza ndo guardiola huwa anamfunga mourinho timu inakuwa haijakaa sawa kuithibiti pressing ya Guardiola...Mkuu nilikuacha kwnye uzi wa Chealsea naona na huku umeniandama..okey
 
Toa source ya hiyo list ya top ten ya makocha bora wa muda wote ambayo Guardiola hayupo.
Mourinho katika msimu wake wa pili Madrid hakufungwa na Guardiola?
Wewe umeanza kuangalia mpira msimu uliopita bila ya shaka au una matatizo ya kumbukumbu katika kichwa chako.
Siyo kwamba nakuandama ila huwa napenda kukuweka sawa kwasababu unaonekana bado hujakomaa katika masuala ya mpira wa miguu.
 
Kama unajua mpira bora ukae kimya..la sivyo utajifanya unajua kumbe hujui mwisho wa siku ni aibu
UEFA unveil their Top 10 greatest managers of all time
 
Attachments

  • IMG_2369.PNG
    IMG_2369.PNG
    12.4 KB · Views: 22
kocha bora ni Sir. Alex Ferguson pekee hao wengine ni ujanja ujanja tu na kubebwa na mastaa

mourinho ni sawa sawa na julio ni muhamasishaji sio kocha
guardiola na zidane wanabebwa na ubora wa vikosi vyao
 
Nitajie kocha yeyte asiye mtumwa kwa Guardiola? Hata hvyo mbal na ubora wote alionao Guardiola bado hayupo kwenye top ten ya makocha bora wa mda wote but mourinho yupo...Mourinho akikaa na timu miaka miwili..guardiola huwa hachomoki (utajionea mwaka huu pia) msimu wa kwanza ndo guardiola huwa anamfunga mourinho timu inakuwa haijakaa sawa kuithibiti pressing ya Guardiola...Mkuu nilikuacha kwnye uzi wa Chealsea naona na huku umeniandama..okey
Nakubaliana na we
 
Back
Top Bottom