Mourinho kurudi chelsea

Mourinho kurudi chelsea

Nadhani nilikosea kutoweka alama ya kuuliza kwenye heading (?)

Kuhusu kupika, probably, probably not, coz ujio wa Benitez Chelsea uliwekwa hadharani first na The Sun, Balotelli kwenda AC Milan walionza kulizungumzia ni The Sun.
So unless kuwe na uthibitisho kwamba hii habari ni ya kupika.

Kwani Suala la Jose kurudi Chelsea kwani lilianza kuzungumziwa leo!!?? Mkuu Mourinho, tatizo wengi hawafatilii vyombo vya Habari, hivyo we vumilia, embu tuendelee na Uchambuzi wa Soka Mkuu, mi nakukubali sana.
 
Yeye aliingia kwa mbwembwe akidhani kwenda Real Madrid atajipatia ujiko kwa kuchukua vikombe kirahisi rahisi. Amegundua kwamba uwepo wa Barcelona haimpi nafasi ya kufanikisha aziima hiyo na akihama atakuwa akwepa aibu ya kuharibu heshima yake maana sasa mpaka maforward wake wanajifunga mabao

Chukua 98%
 
ALEYN safi kwa hoja yako,lakini naomba kutofautina na wewe kidogo..kwa sababu hii ni JF.
Kwanza niseme mambo ambayo Mourinho amefanya kwenye mpira wa Ulaya hakuna kocha amewahi kufanya kwa staili hiyo:

Mambo yapo hayo?
-Amechukua ubingwa wa UEFA cup akiwa na Porto.
-Amechkua UCL, akiwa na Porto pia kumbuka aliitoa Man Utd, kwenye hatua ya 16 bora, tena pale pale kwao.
-Aliwapa ubingwa Chelsea, ambao ambao hawakuwa wameupata kwa miaka karibu 50, hii ilikuwa 2004-2005 & 2005-2006!Akiwa Chelsea aliingia nusu fainali ya Champions League.
-Akawapa Inter Milan ubingwa wa Italia, na UCL.
-Akawapa Madrid ubingwa kwa rekodi ya pekee ya points nyingi sana!
-Usisahau kwamba Mourinho ni kocha ambaye ameifunga Barcelona mara nyingi sana. Kuliko idadi ambazo Barcelona imemfunga Mourinho. Jamaa amewafunga Barcelona akiwa Chelsea, akiwa Inter Milan, na hata akiwa Madrid au hajawafunga Barca?
-Kachukua ubingwa katika ligi za nchi 4 tofauti:
Ureno
Uingereza
Italia
Hispania
Ngoja nipumue kidogo!:A S 100:

Asante Sana kaka Agosti 8, hapa kweli kabisa ni JF. Uyasemayo ni kweli na umekuja na Facts zenye nguvu, Heshima Kwako. Tuendelee na Kujuzana.
 
Back
Top Bottom