Mourinho vs Guardiola: Kocha Bora vs Kocha Mwenye Bahati

Lakini hujazungumzia kuwa mou alitwaa ubingwa na timu kama Fc porto
Wakat guardiola kashindwa kuchukua na Bayern
 
Kwa team alopitia Pep nataka ni-confirm Kama ni coach bora Kama ataweza kuchukua EPl na kufika final/au kubeba ndoo ya UCL kwa team hii alonayo.
Nasema hivi kwakuwa team alonayo sasaiv asilimia Kubwa ni wachezaji alo wanunua tofauti na team Kama Buryern asilimia Kubwa wachezaji wazuri aliwakuta pale pale
 
ukitaka kujua bayern kwa nini hakuchukua uefa kasome walicho wachezaji baada ya pep kuondoka

unajua kama ronaldo de lima hakuwahi kubeba uefa miaka yake yote ya soka???

je unataka kusema ronaldo de lima ni mshambuliaji mbovu au alichezea timu mbovu???
 
Guadiola alichukua nafasi ya Frank Rijkaad siyo Johan Cruyff.
 
Guadiola alichukua nafasi ya Frank Rijkaad siyo Johan Cruyff.
 
Aliyemuuza de souza na ronaldinho si pep, ni rijkard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…