Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
- Thread starter
- #21
Lakini hujazungumzia kuwa mou alitwaa ubingwa na timu kama Fc portopep nuksi
aliingiaje barca
deal alipewa mou ila akasema hataki mfumo wa johan crufy anataka wake
rais wa fcb kipindi hicho akampoint pep
pep ni nani
pep ni kocha aliyekua akiifundisha barca b ambayo ilikua daraja la tatu na mchezaji wake bora bousquet akiwa uwanjani walichukua ubingwa wa ligi daraja la pili kisha wakaanza kuchukua kombe la segunda kama wameliandaa wao mpaka alipoteuliwa kuwa kocha wa barca ambapo frank alikua anazingua kimatokeo
akiwa kocha wa barca akaanza kumkataa ronaldinho nitafutie kocha wa kumkataa ronaldinho
akamkataa deco desouza
akamkataa yaya toure
anauza e'too
ligi inaanza anafungwa mechi ya kwanza anadroo mechi tatu mfululizo wenye timu wakataka kujuta
baada ya hapo akaanza dozi mourinho anapotoka anakula tano kisha anaanza kuchukua ubingwa back to back mpaka msimu anaompoint dan alves aondoke
dan alves ni rafiki mkubwa wa King leo Messi Pia kumbuka Messi ni mungu mtu pale barca hivyo linashindikana
mgogoro unaanza mourinho ndio anabeba kombe kisha pep anatimka
maisha bayern munich
yalikua mazuri kutokana na uwezo ila anafanya maamuzi magumu anamuondoa bastian kikosini kisha lahm namba 6
anachukua ubingwa back to back
bayern wana mifumo yao ndio maana walipofungwa 1 bila na madrid wachezaji wakasema tukicheza tunavyochezaga hawatufungi wale madrid ila marudiano wakala nne
Mourinho alienda porto ikiwa timu bingwa ureno akaunda kikosi akachukua ubingwa sawa
ila alivyokuja chelsea alitumia pesa nyingi lazima ulete kitu huwezi kutumia pesa za watu hovyo hovyo kisha ukaja mikono mitupu halafu akatimuliwa
akaenda inter akakuta juve hawapo milan wameanza kuchoka
akamleta lucio akaungana na walter samuel ubavu chivu ubavu zanetti kipa julio unataka nini zaidi ya kuzuia
akawa ana cambiasso na thiago motta akawa ana sneider kisha dejan stankovic mbele diego milito na e'too huku ballo akiwasubiri
mechi na fcb anawaambia waandishi kwamba wale hatuwawezi ila tutajaribu kuwafunga guessepe meaza 2 bila camp nou 1 bila wanatoka fcb
akiwa madrid anageuza el classico kuwa vita huyo mou
naomba niishie hapa
Wakat guardiola kashindwa kuchukua na Bayern