Sio kweli kwamba Mahakama inabananwa kisheria na maamuzi yake ya nyuma. Mfumo wa kufuata precedents, unaoitwa stare decisis, ni utaratibu wa jadi za kisheria tu, na sio mamlaka ya kumbana Jaji. Hakuna mahala katika Katiba wala Sheria nyingine ilipoandikwa kwamba Jaji afuatishe maamuzi ya Jaji mwezake ya nyuma. Ni msingi uliojengeka kiutamaduni tu, kwamba maamuzi yaachwe kama yalivyo au stare decisis. Lakini yanaweza kubadilishwa
...Pia nashukuru leo kwa kukubali kuwa mahakama hutumia pia legal tradition hasa hiyo doctrine of precedents au stare decisis,
...ila tu kwa madhumuni ya kuwekana sawa naomba nikusahihishe kidogo kwenye hili. Ni kuwa mahakama ni kweli kuwa zinafungwa kufuata maamuzi yake ya nyuma,kwa maana ya kwamba mahakama ya rufaa ikitoa uamuzi uamuzi huo unaifunga mahakama hiyo,vilevile unazifunga mahakama zote za chini yake ikiwamo mahakama kuu unless uamuzi huo ukawa over rulled na mahakama hiyo hiyo ya rufani kwa kutoa practice statement.Vivyo hivyo kwa mahakama kuu na mahakama zilizoko chini yake.Mahakama ambazo hazitengenezi precedent ni zile zilizoko chini ya mahakama kuu.Na kwa maana hiyo basi "The court of appeal of Tanzania is bound by its own decision and it is also free to epart from its own previous decision when it is right to do so".
Unakosea tena.
Ulipokuwa unaeleza inakuwaje Majaji wana nguvu ya kutengua sheria batili papo hapo (kama kesi ya Takrima) bila kusubiri Serikali iirekebishe ( kama Ibara ya 30 (5) inavyosema) ilidai ni "nguvu za asili" au "inherent power" za mahakama. Ninakwambia hicho kitu kama ulivyokieleza hakipo. Mahakama haiwezi kutofuata Katiba eti kwa vile ina "nguvu za asili." Ikaonekana ulikuwa unachanganya nguvu ya asili ya kusikiliza kesi "original jurisdiction" na nguvu ya mahakama kutafsiri na kutangua sheria mbovu "Judicial Review." Sasa hapa unachanganya tamaduni za sheria "legal tradition," na hizo "nguvu za asili," kitu ambacho hakipo.
Utamaduni wa Kisheria, au "legal tradition" sio "nguvu za asili" za kuipa mahakama mamlaka ya kwenda kinyume na Katiba na sheria za vitabuni. Hakuna "nguvu za asili." Mahakama za Tanzania zinapata uwezo wa kutangua sheria batili papo hapo ( tofauti na Ibara ya 30 (5) inavyoshauri) kwa sababu kuna Ibara nyingine, ya 64 (5), inaipa hiyo nguvu, sio "nguvu za asili." Hakuna kitu kama hicho.
Sio kweli.
Kama mahakama inaweza kutengua uamuzi wake, kama ulivyosema "and it is also free to [epart] from its own previous decision when it is right to do so" basi haifungwi. Sasa, sijui kama ni hoja zako au za wenzako, maana nukuu yako zimetoka wapi, zaidi ya kutupa sentensi yenye alama za kunukuu, lakini unajifunga funga.
Kingine, hatuongelei nguvu ya maamuzi ya Mahakama juu ya zile mahakama za chini, usichanganye habari. Tunaongelea Mahakama ile ile inapokuwa na kesi kuhusu swala lililowahi kuamuliwa na mahakama ile ile siku za nyuma. Mahakama za chini hazihusiki hapa. Ukitenganisha vitu tofauti hutajichanganya na kuvikosea.
Mahakama inao uwezo wa ku overturn uamuzi wake yenyewe, haibanwi. Na hakuna "nguvu za asili" za mahakama kwenda tofauti na Katiba ya nchi.
Hapa ndugu yangu hakuna habari iliyochanganywa katika doctrine of precedent naomba nikukumbushe kuwa kuna verticacl binding obligation na horizontal binding obligation.Vertical binding ndio hilo unalolizungumzia yaani "nguvu za maamuzi ya mahakama juu ya zile mahakama za chini, wakati horizontal binding, ndio nguvu za maamuzi ya mahakama kuifunga mahakama yenyewe iliyotoa maamuzi hayo.Kwa maana hiyo basi, Mahakama zinazofungwa na maamuzi yake zenyewe ni mbili tu,HIGH COURT na COURT of APPEAL ,na ndio hizi pia zimepewa uwezo wa ku "depart from its own previous decision when it is right to do so".Narudia tena usemi wa "The Court of appeal of Tanzania is free to depart from its own previos decision when it appears right to do so" ulitolewa kwenye kesi ya JUWATA vs. KIUTA na pia utaikuta katika kesi ya BI HAWA MOHAMMED VS ALI SEFU.[1983]TLR 6.Na when it appears right to do so, ni wakati moja,kuna conflicting decision kuhusu jambo fulani let say kuna decision mbili za mahakama moja inasema zanzibar ni nchi,nyingine inasema sio nchi,mbili,kunapkuwa na uamuzi uliotolewa kwa kukosewa au kwa kugha ya kistaarabu kwa kupitiwa(decision per incurium).Mahakama pia ilirudia kauli hii na kujadili haya mambo ya kufungwa au kutofungwa katika kesi ya ABOUHARY AZIZI na wenzake.Hivyo ni general principle of law mahakama kufungwa na uamuzi wake yenyewe na exception ni pale inapoona yafaa kutengua uamuzi wake yenyewe wa awali.Hii ndiyo correct legal position nenda popote pale Tanzania.Kingine, hatuongelei nguvu ya maamuzi ya Mahakama juu ya zile mahakama za chini, usichanganye habari. Tunaongelea Mahakama ile ile inapokuwa na kesi kuhusu swala lililowahi kuamuliwa na mahakama ile ile siku za nyuma. Mahakama za chini hazihusiki hapa. Ukitenganisha vitu tofauti hutajichanganya na kuvikosea
Ikaonekana ulikuwa unachanganya nguvu ya asili ya kusikiliza kesi "original jurisdiction" na nguvu ya mahakama kutafsiri na kutangua sheria mbovu "Judicial Review
Na hakuna mahali niliposema kuwa eti inherent power zinairuhusu mahakama kwenda kinyume na katiba,si kweli kwani katiba yenyewe ndio imeziappreciate hizo power. Hata isingekuwepo ibara ya 64(5) bado mahakama ingeweza tu kunullify sheria ambayo inapingana na katiba.Wakati, Inherent power ni power ambazo zinahusisha hata hiyo judicial review is a wide range of powers sio moja au 2.Iwapo Katiba hii au sheria nyingine yoyote haikutamka wazi
kwamba shauri la aina iliyotajwa mahususi litasikilizwa kwanza
katika Mahakama ya ngazi iliyotajwa mahsusi kwa ajili hiyo, basi
Mahakama Kuu itakuwa na mamlaka ya kusikiliza kila shauri la
aina hiyo.
Ulipokuwa unaeleza inakuwaje Majaji wana nguvu ya kutengua sheria batili papo hapo (kama kesi ya Takrima) bila kusubiri Serikali iirekebishe ( kama Ibara ya 30 (5) inavyosema) ilidai ni "nguvu za asili" au "inherent power" za mahakama. Ninakwambia hicho kitu kama ulivyokieleza hakipo. Mahakama haiwezi kutofuata Katiba eti kwa vile ina "nguvu za asili." Ikaonekana ulikuwa unachanganya nguvu ya asili ya kusikiliza kesi "original jurisdiction" na nguvu ya mahakama kutafsiri na kutangua sheria mbovu "Judicial Review." Sasa hapa unachanganya tamaduni za sheria "legal tradition," na hizo "nguvu za asili," kitu ambacho hakipo.
Utamaduni wa Kisheria, au "legal tradition" sio "nguvu za asili" za kuipa mahakama mamlaka ya kwenda kinyume na Katiba na sheria za vitabuni. Hakuna "nguvu za asili." Mahakama za Tanzania zinapata uwezo wa kutangua sheria batili papo hapo ( tofauti na Ibara ya 30 (5) inavyoshauri) kwa sababu kuna Ibara nyingine, ya 64 (5), inaipa hiyo nguvu, sio "nguvu za asili." Hakuna kitu kama hicho
Hali kadhalika Mahakama Kuu itakuwa na uwezo wa
kutekeleza shughuli yoyote ambayo kwa mujibu wa mila za
kisheria zinazotumika Tanzania shughuli ya aina hiyo kwa
kawaida hutekelezwa na Mahakama Kuu
[/QUOTE]A strong reflection is quoted from the learned Judges, below ... and many can argue the mandate of the Judiciary on this Union issues, but check me, their arguments is mind boggling: Rich, Authoritative.
This is not an insult, but perhaps there are very few people who possess the same capacity of critical thinking in the Clove-rich Isles. This however, does not belittle their natural right to question their participation in the Union.
Ask for my opinion, I am not that in favour of the Union with Zenj... Come on, those chaps want to walk on their feet, finally, let 'em loose. Does the mainland have anything to lose if we let them go? Come on, check me... we have so much of other important business to catch up as we try to evict ourselves from abject poverty.
Let them go. Let them loose, please.:
[QUOTE]...May be this is the proper juncture to turn to the question posed by Mr. Mbwezeleni: is Zanzibar a sovereign state in international law?
After the above exposition, we have no difficulty at all to answer that question in the negative. The International Persons called Tanganyika and Zanzibar ceased to exist as from 26th April, 1964 because of the Articles of Union. The two states merged to form a new international person called the United Republic of Tanzania.
The Rt. Hon. The Earl of Birkenhead has said at page 36: A nation cannot indefinitely surrender the treaty-making power to another, and at the same time retain its existence as a sovereign state. We concur with this contention and we wish to point out that both Tanganyika and Zanzibar, and not Zanzibar alone, surrendered their treaty-making powers to the United Republic of Tanzania.
Thus, Zanzibar, just like its sister Tanganyika, is neither a state nor is it sovereign. The state and the sovereign is the United Republic of Tanzania...
Hii ndio scenarioninayoiombea itokee,si kwa sababu siipend nchi yangu, bali ifungue macho ya viongozi/wabunge wetu kuona wapi tunakwenda. Sasa hivi ni tabu rais wa zanzibar kuhudhulia vikao vya baraza la mawaziri mwenyekiti akiwa si rais. Je rais wa Zanzibar chini ya chama cha upinzani ataona sababu yeyot ya maana kuhudhuria vikao hivyo? tutamlaumu akikataa, lakini mazingira ya ushirikiano kwa sasa uanategemea CCM kushinda pand zote, na ndio maana muafaka hautekelezeki na CCM watafanya kila ujuvi ili washinde Zanzibar.Hivi wameshawahi kufikiria inaweza kuwaje siku Tanzania bara akichaguliwa rais toka ccm na visiwani akichaguliwa cuf? wanaweza kushirikiana vipi kisera?