Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Kaa kimya kama huna akili. Siasa siyo hisani ya samia ni haki ya kila raia. Ccm haiwezi kujichinja yenyewe lazima ichinjwe. Unakumbuka uchafuzi wa wa mwaka jan! Ccm walitangazana tu kushinda hata bila kushinda.
Siasa sio vita na nchi hii ni yetu sote tunaitaji kujadiliana tuone tunaendaje mbele mnasema tu katiba mpya je tuanzie wapi tupitishe ile rasimu ya bunge au tuanzie kwenye rasimu ya warioba mnaanza kumtisha mama eti tutamnyoa acheni ujinga mama msataarabu anatak maridhiano mbona kwa mwenda zake mlitulia acheni ujinga
 
Huna hoja ya msingi mdogo wangu pia usikurupuke.!!!

Ccm inavunja katiba waziwazi kwa kuziia mikutano ya kisiasa(mikutano ya hadhara ya vyama) ambayo ni halali na imeruhusiwa na katiba.

Mbowe alisema wako tayari kwa maridhiano lakini kama hawataki chadema itafuata katiba ya nnchi.
 
Reactions: BAK
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👍🏽

 
Wananchi hawahitaji mikutano ya kisiasa wanahitaji huduma Bora za afya, elimu, barabara, nishati ya umeme, maji, uchumi imara, ajira kwa vijana.

Mikutano ya kisiasa ni takwa la wanasiasa pekee.
 
Naam uko sawa kabisa Mkuu na ushahidi ni huu hapa.


 
Ni kweli mkuu, lakini tatizo ni kwamba hizo point 3 hawakuwahi kuzipata. Ya nini kushikilia mbinu ambayo haikupi matokeo.
 
Mkuu kiapo chake cha kuilinda na kuitetea katiba hakiheshimu kwani kule Bungeni wale Covid-19 wanavunja katiba na kulipwa kiharamu lakini mama kauchuna ANADEMKA TU. Inachekesha sana baadhi ya wapuuzi kudai eti Chadema wanamuonea samia kwa sababu ni muislamu na mwanamke!!!! UPUUZI MTUPU!!!

Mama awapuuze, yeye alinde kiapo chake
 
Sio tu kwamba ccm wamevunja katiba hata hii katiba ni zao lao yaani kiufupi katiba hii ya mwaka 1977 ni ya ccm lakini kama tunataka katiba mpya kazima wote twende sawa ccm chadema na wasio na vyama katiba ni mali ya wananchi it's will of people lakini ili tusije tukafanya vitu kwa mihemko tupeana muda mama kasema atakutana na viongozi wa vyama vya siasa akikutana nao ndo watasema wataongea tunaendaje sio kama nyie saiv mtu hata kukaa nae bado mnaanza kutishana acheni izo
 
Reactions: BAK
Kama Ccm hawafuati katiba walioianzisha tunaenda sawa nao vipi?

Yaani Chadema ifuate Ccm inacho-demand !!!! Samia ameitwa na mbowe mara ngapi? Lissu pia? Ameitika ? Mihemko unayowewe mchakato wa katiba mpya ulishaibuka kipindi cha kikwete kumbuka hilo sasa nashangaa kwa sasa unapinga....!!
....
 
Reactions: BAK
Samia Ni rais wa nchi hawezi kuitwa na mbowe kama akina mdude ana siku 100+ ikulu angalau amalize miez 6 ivi ni reasonable time
 

 
Kwa wenye akili tu. Nyie vialza hamuweze kujua umuhimu wa katiba mpya na hamjua rais kuwa mmemuajiri nyinyi hivyo mnaweza kumpelekesha mjuavyo!!
 
Asante Mungu kwa kutupa Magufuli na kutuonesha maneno ya Mwl Nyerere kwamba Kwa Katiba hii Rais anaweza kuwa Dikteta Mh Jaji Werema amesema kwa utawala wa MAGUFULI tumejua ubovu wa Katiba yetu zaidi ccm walifinywa na wanajua MAGUFULI alivyokuwa akiwananga mpaka wabunge wanaambiwa kazi yao kupiga makofi tuu mwanamume anawatafutia pesa hawana nguvu ya KUZIHOJI MATUMIZI YAKE
 
Non sense
 

Dikteta kashakufa sasa tujipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…