Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Mwl Nyerere alisema tukipata Rais Kichaa......
 

We mpumbavu sana. Ndo uhuru huo wa kuongea. By the way, Mwinyi Hassan na Mkwere na Msuya wako ziarani wanapiga mpunga kwenye miradi yetu pendwa.
 
Ni vema sasa tumjengee sanamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK


 
Haya msikilize huyu Kitila Mkumbo anayoyaongea siku hizi. Watu wakipata madaraka wanabadilika
 
Wewe siyo "Watanzania" wewe ni Mtanzania mmoja tu. Anza na Mbunge wako apeleke hoja Bungeni kama akiona ina mantiki.
 
Wananchi sauti yao maamuzi ndio huunda Selikali na kuipa Nazi za kufanya!Selikali yoyote iwayo duniani ikipuuza sauti za wananchi walioiweka madrakani hiyo huitwa Selikali ya kidikiteta na kandamizi.
Tanzania in nchi inayo heshimu matakwa ya Wananchi bila kuvunja katiba ya nchi.
Uhuru wa mawazo ulio na staha Mh Samoa aliisha luhusu mikitano na maandamano Mara nyingi yamfanyika na wanashiriki wananchi wore wana siasa na wasio wanasiasa..Kama kuna tatizo kinzani basis ni utashi was MTU mmoja kibinafsi na sio Selikali
 
Katiba MPYA ndio suluhisho .

LISSU AUNGWE MKONO kuyatimiza mapenzi ya watanzania Time ya Jaji Warioba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…