Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Katiba MPYA ndio suluhisho .

LISSU AUNGWE MKONO kuyatimiza mapenzi ya watanzania Time ya Jaji Warioba.
Miaka hii ya Trump tumekuwa nayo mengi ya kujifunza. Kubwa na muhimu zaidi ni kwamba no constitution or law is good enough to defend itself. Bila utayari wa watu kuilinda Katiba yao au sheria zao kwa gharama yoyote, hata Katiba au sheria nzuri namna gani si lolote si chochote. Why? The United States is a case in point. It cannot be gainsaid that the Trump administration is a dictatorial regime. Pure and simple! What happened? Je, Katiba ya Marekani imepitwa na wakati?

State of mind moja inapaswa kutokea ili kwenda sawa: utayari wa wananchi kulinda Katiba yao na sheria zao kwa wivu mkubwa. Watanzania wangekuwa tayari kuilinda kwa jasho na damu hata hii Katiba yao mbovu, michezo michafu ya CCM ingekuwa imekoma. Lakini kwa hali ilivyo sasa, hata kama Mungu angetushushia a flawless constitution kutoka Mbinguni, watawala wataendelea kusigina haki za wananchi with impunity. Why? Kwasababu wananchi wenyewe ndio wamekuwa their own worst enemies! Si wengi wako tayari kufia haki zao.
 
Back
Top Bottom