Movie gani imekubamba mwaka huu 2023 so far

Movie gani imekubamba mwaka huu 2023 so far

John wick
20230527_122937.jpg
 
Kuna wapuuzi watakuja hapa watasema huo muda wa kucheki movie mnaupata wapi...btw jana nilicheki "SISU"..
Maisha bila burudani si maisha,movie ni hobby kama hobby zingine,kama mda wa mambo mengine unapatikana kwa nini ukose mda wa kuangalia movie?!!

Mwaka huu

Extraction
Covenant
John wick
Sisu

Fast x Ingawa umaliziaji si mzuri na ninazani inakuja fast x 2 kwa siku zijazo.

Kandahar
 
Back
Top Bottom