Movie gani imekubamba mwaka huu 2023 so far

Movie gani imekubamba mwaka huu 2023 so far

Me ilonibamba mwaka huu ni series ya 'The Queen's Gambit'
ni ya 2020 lakini nimeiangalia this year
Nyengine ni series ya 'All the Light we can not See" (hizi kwa wapenda action wataziona zipo slow lakini story zake ni nzuri sana

kwa movie ni 'NOWHERE"
 
Back
Top Bottom