Kuna wakati bongo movie wanatengeneza movie nzuri saana mpaka unataman uiangalie mara kwa mara
Kwa mfano mimi huwa napenda movie za tiny white&ringo(kamanda mstaafu,n.k) huwa siwachoki kuwaangalia.
Je movie gani ya kibongo kwako ilikuwa ni best hata ukiirudia huwezi ikinai.
Anavua viatu ili asichafue nyumbaHakuna bongo movie ya kurudia rudia, sema tu huna shughuli maalum. We umeona wapi kwenye moviejini anavua viatu kabla ya kuingia ndani, halafu unasema huchoki
Ya ambarutiKuna wakati bongo movie wanatengeneza movie nzuri saana mpaka unataman uiangalie mara kwa mara
Kwa mfano mimi huwa napenda movie za tiny white&ringo(kamanda mstaafu,n.k) huwa siwachoki kuwaangalia.
Je movie gani ya kibongo kwako ilikuwa ni best hata ukiirudia huwezi ikinai.
Rado[emoji2][emoji2][emoji2] mjombaMADAME YA WEMA SEPETA NA MAU FUNDI NA YULE JAMAA MSUKUMA
hatari sana ntafuatilia nijue Nani aliiandaaSIRI YA MTUNGI