Movie gani ya kibongo hata uirudie mara nyingi huwezi ikinai.

Prison Break ile walioigizia gereza la Keko
 
TUNU( hadith za kumekucha yupo Jb)
FATIMA( hadithi za kumekucha )
SUNSHINE (ben pol)

Movie zimetulia kuanzia soundtrack
Mpak video very creatibe work
 
Kuna wakati bongo movie wanatengeneza movie nzuri saana mpaka unataman uiangalie mara kwa mara

Kwa mfano mimi huwa napenda movie za tiny white&ringo(kamanda mstaafu,n.k) huwa siwachoki kuwaangalia.

Je movie gani ya kibongo kwako ilikuwa ni best hata ukiirudia huwezi ikinai.
Oprah ya Kanumba
 
Baada ya kugundua kigezo namba moja cha kuwa actor au actress ni muonekano sijawai kupoteza mda tena kuangalia hizo movie bora niangalie Tom and Jerry.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati bongo movie wanatengeneza movie nzuri saana mpaka unataman uiangalie mara kwa mara

Kwa mfano mimi huwa napenda movie za tiny white&ringo(kamanda mstaafu,n.k) huwa siwachoki kuwaangalia.

Je movie gani ya kibongo kwako ilikuwa ni best hata ukiirudia huwezi ikinai.
Msungu
 
Back
Top Bottom