PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Hii ya Kanumba alijitahidi sana.Moses
Hii nzuri sana story iko vizuri,kamera walitumia za kisasa na wahusika walijitahidi sana.SIRI YA MTUNGI
Hivi hii Masaa 24 inapatikana kweli. Nataka kuirudiaMasaa 24(Kaisi, Dr. Chen & Allii ) & Fake pastor ( Ray kigosi & Adam Juma)
muandaaji ni yule zoba manywele wa ndizi zoro.hatari sana ntafuatilia nijue Nani aliiandaa
ivi siri ya mtungi iliishaga hii tamthiliyaSiri ya Mtungi
Maza hausi- Shamsa Ford, sio kwa vituko vile