Movie: Kanumba na Arnold Schwarzenegger

Movie: Kanumba na Arnold Schwarzenegger

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Ni miaka mi3 sasa toka huyu jamaa atutoke duniani, lakini pengo lake linajidhihirisha kila kukicha..

Jamaa alishapiga hatua nyingi za kuonesha kua alikua anaelekea kwenye mafanikio zaidi ya kimaigizo kwa tanzania, na nathubutu kusema kua huyu jamaa angeshafikia kiwango cha kuigiza na magwiji wa Hollywood kama akina Schwarzenegger na wengine wengi..

Ushahidi wa hayo upo na wala haupingiki, na baaadhi ya juhudi tulikua tumeshaziona!

Pia hawa wasanii waliobaki naona kama wanazidi kukera kila kukicha hakuna wanachofanya, yaani ni ushenzi mtupu...

Kuna huyu jamaa RAY alikua anajifanya ndio mbadala wa kanumba lakini siku hizi simsikii, yaani kwa kifupi kafulia...

Dah kweli pengo lako halitofutika mkuu.. R.i.p
 
Pengo lake halifutiki wala kuzibika.Enzi zile nilikua naweza hata kuangalia movie za hapa nyumbani japo mara moja moja ila tokea atangulie mbele za haki sijui hata jina la filamu yoyote ya kibongo.
 
Yaani wewe na mimi sawa sijui sisi ni ndugu!?... Ha ha ha nifah
 
Last edited by a moderator:
Ni miaka mi3 sasa toka huyu jamaa atutoke duniani, lakini pengo lake linajidhihirisha kila kukicha..

Jamaa alishapiga hatua nyingi za kuonesha kua alikua anaelekea kwenye mafanikio zaidi ya kimaigizo kwa tanzania, na nathubutu kusema kua huyu jamaa angeshafikia kiwango cha kuigiza na magwiji wa Hollywood kama akina Schwarzenegger na wengine wengi..

Ushahidi wa hayo upo na wala haupingiki, na baaadhi ya juhudi tulikua tumeshaziona!

Pia hawa wasanii waliobaki naona kama wanazidi kukera kila kukicha hakuna wanachofanya, yaani ni ushenzi mtupu...

Kuna huyu jamaa RAY alikua anajifanya ndio mbadala wa kanumba lakini siku hizi simsikii, yaani kwa kifupi kafulia...

Dah kweli pengo lako halitofutika mkuu.. R.i.p

cc warumi kuja pande hii.....
 
Last edited by a moderator:
Bongo vumbi waache kujiita bongo movie
Kinacho waangusha kutaka umoja yaani mmoja aamue asimame mwenyew bila kumtegemea mtu akawa serious na kazi yake watatoka
Ila wamekalia majungu na maisha feki mpaka kazi zao zimekuwa fekero
 
100% sure KikulachoChako hawezi angalia midudu ya mtindo huo,,,, sikwambii kuhusu MziziMkavu

Kuzitazama filamu za kitanzania inataka uwe umejitoa akili kwa kiwango fulani...huku ukiwa umeshatupia viroba kadhaa kichwani...maana ukitumia akili ya kawaida wanaweza wakakusababishia ukaipasua tv yako kwa hasira ya madudu yanayofanyika humo.....kwa kifupi filamu zetu zinatia kinyaa kwani hakuna tunachokiona humo zaidi ya chupi na mapaja ya wadada..wanaoitwa wasaniii..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom