Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 399
Ni miaka mi3 sasa toka huyu jamaa atutoke duniani, lakini pengo lake linajidhihirisha kila kukicha..
Jamaa alishapiga hatua nyingi za kuonesha kua alikua anaelekea kwenye mafanikio zaidi ya kimaigizo kwa tanzania, na nathubutu kusema kua huyu jamaa angeshafikia kiwango cha kuigiza na magwiji wa Hollywood kama akina Schwarzenegger na wengine wengi..
Ushahidi wa hayo upo na wala haupingiki, na baaadhi ya juhudi tulikua tumeshaziona!
Pia hawa wasanii waliobaki naona kama wanazidi kukera kila kukicha hakuna wanachofanya, yaani ni ushenzi mtupu...
Kuna huyu jamaa RAY alikua anajifanya ndio mbadala wa kanumba lakini siku hizi simsikii, yaani kwa kifupi kafulia...
Dah kweli pengo lako halitofutika mkuu.. R.i.p