joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ki ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe
Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram
wivu humuua mtu mjingaKi ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe
Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram
Laani umasikini mdau ndio unasababisha yote hayaIla wabongo wengine mko na Jealous sana.
Mbona hukusema haya mwanzoni?
Source iko wapi?Haijakidhi vigezo
Wewe babu achana na mambo ya vijana,siyo tabia njema!Slay.
Huu ndio uhalisia wa waTanzania walio wengi kwenye maisha yetu ya kila siku.......
Ila YOU AGAIN ilikuwa nzuri sana
Hiyo ya Idris inaitwaje?
Ila YOU AGAIN ilikuwa nzuri sana
Kiukweli amejitahidi sana, tuwe tunasupport watu jamani,.hivi hii roho ya kukandia watu hata wakijaribu tutaacha.lini watz? aki sio poa, Idriss amejitahidi sana na binafsi nimeiona movie yake ya slay yani iko poa sana ni mapungufu madogo tu ambayo kama watz wenzake tungetoa maoni katika kurekebisha na sio kukatoshana tamaa. Si ni angalau hata Idriss movie yake ina kiwango flani hata kama sio cha 100% ukilinganisha na bongo movie wengine, but ni mwanzo tu, tukimsupport sasa na kumpa maoni ya marekebisho hakika atatoa movie nyingine ambayo itakua bora zaidi na zaidi, tuwe watu wa kusupport na kurekebisha but kuponda tu na kukatishana tamaa sio vema. Anyway ni maoni yangu tu lakini.
Kwenye hiyo movie nilichoelewa ni kupeana mate tu.
Nzuri kvp au ww wapenda hayo mambo.?
Mungu akusaidie uzidi kuyapenda saaanahNdio nayapenda