Movie Mpya ya Idris Sultan yaondolewa Netflix

Ki ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe

Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram

Kwani Idris Mwenyewe anasemaje?
 
wivu humuua mtu mjinga
 
Kiukweli amejitahidi sana, tuwe tunasupport watu jamani,.hivi hii roho ya kukandia watu hata wakijaribu tutaacha.lini watz? aki sio poa, Idriss amejitahidi sana na binafsi nimeiona movie yake ya slay yani iko poa sana ni mapungufu madogo tu ambayo kama watz wenzake tungetoa maoni katika kurekebisha na sio kukatoshana tamaa. Si ni angalau hata Idriss movie yake ina kiwango flani hata kama sio cha 100% ukilinganisha na bongo movie wengine, but ni mwanzo tu, tukimsupport sasa na kumpa maoni ya marekebisho hakika atatoa movie nyingine ambayo itakua bora zaidi na zaidi, tuwe watu wa kusupport na kurekebisha but kuponda tu na kukatishana tamaa sio vema. Anyway ni maoni yangu tu lakini.
 
Huu ndio uhalisia wa waTanzania walio wengi kwenye maisha yetu ya kila siku.......

Tatizo wabongo hamnaga taste ya kujua film ipi nzuri ipi mbovu, mpo mpo tu kama maiti, kisa tu mmeona movie iko Netflix bas mnakenua mijino ndo mnajua movie ni Kali, Uko Netflix kuna movie utopolo nyingi tu
 
Kiukweli amejitahidi sana, tuwe tunasupport watu jamani,.hivi hii roho ya kukandia watu hata wakijaribu tutaacha.lini watz? aki sio poa, Idriss amejitahidi sana na binafsi nimeiona movie yake ya slay yani iko poa sana ni mapungufu madogo tu ambayo kama watz wenzake tungetoa maoni katika kurekebisha na sio kukatoshana tamaa. Si ni angalau hata Idriss movie yake ina kiwango flani hata kama sio cha 100% ukilinganisha na bongo movie wengine, but ni mwanzo tu, tukimsupport sasa na kumpa maoni ya marekebisho hakika atatoa movie nyingine ambayo itakua bora zaidi na zaidi, tuwe watu wa kusupport na kurekebisha but kuponda tu na kukatishana tamaa sio vema. Anyway ni maoni yangu tu lakini.

Kumbe hata huna upeo na unachokiandika, Idris atoe movie kutoka wapi ? Yeye sio producer wa hiyo movie , ni kama extra tu . Film sio ya kwake, director aliyeongoza hiyo movie ndo kafeli , Idris nae pia kafeli kwenye uigizaji... movie mpaka inaingia Netflix halaf mnafanya upuuz unataka wajitahid vip sas? Wapuuzi tu Ndio maana li Filamu lao wamelitoa
 
Wewe ukitoa umbea huwa unakuwa mtamu zaidi ya kitumbua.

Angalizo: chunga usije ukazeka ukaitwa mchawi na wajukuu maana hawachelewi
 
Back
Top Bottom