Movie Mpya ya Idris Sultan yaondolewa Netflix

Wewe ulijuaje kuwa ilisifiwa sana social media?
Sababu Movie iliinianza Kuwa streamed Netflix tarehe 26/04.

Na kuna sehemu umesema imetolewa kwasababu aina kiwango.
Inamaana iliingizwa huko kabla wenyewe hawajaicheki kama inafaa ama lah?

Hilo swali sasa ndo ungewauliza Netflix kwa nini waliiweka akat Ina kasoro mimi siwez kukujibu hilo swali
 
Hivi mtu unaanzaje kudiss hustle ya mtu alie onyesha juhudi kubwa kufanya jambo??..

Hivi unajua tabia kama yako ndo ilifanya kuwe na wachawi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Unaelewa maana ya juhudi wewe??? Unaelewa ulichoandika wewe? Uko makini kweli na matumizi yako ya akili ??????
 
Papaa taratibu,hii muvi imesifiwa na Kikwete,Surely hata kama haina viwango vya hollywood,lakini ipo juu ya bongo muvi,
Usiponde sana,jamaa amejitahidi,mwanzo ni mgumu tutafika lakini

Mbwa hii sasa kama kikwete ndo nani ? Mi nikajua imesifiwa na director mkubwa huko hollywood sasa kikwete anajua film wapi? Ye si ni mnafiki tu kama nyie mxieew
 

 
Hii ilikuwa inasifiwa hadi na Kikwete mara imeingia dosari!? 😳😳😳
Sababu ya kuitoa sio kwamba mbaya... as we all know, Netflix sio Instagram kwamba anyone anaweza ku-post filamu kule! Kama wana-post, ina maana wenyewe walisharidhika nayo! Btw, hata kama ni mbaya, na inapata views, why should they car!!

Inasemekana walitumia wimbo wa mtu kama soundtrack bila kukubaliana na wenyewe! Na kosa kama hilo sio la waigizaji bali Director na Producers ambao ni Nigerians!
 
Yule nae si mzandiki tu
Ila binamu pamoja na povu lote hilo hivi una habari kabla haijaondolewa ilikuwa inafanya vizuri sana?

According Flixpatrol, kabla haijaondolewa Slay ilikuwa ina-top Nigeria na South Africa, huku ikishika namba 5 Jamaica!!



Sina hakika kama unaifahamu Flixpatrol na hivyo unaweza kuwa na uhalali wa ku-question data zake!

Kama huifahamu, na kama ni mfuatiliaji wa burudani duniani, hususani filamu kutoka Hollywood, basi bila shaka utakuwa unawafahamu Variety... moja ya majarida makubwa kabisa (industrial magazines) in Hollywood!

The Variety wanaandika:-
Streaming analytics firm FlixPatrol has again provided VIP with exclusive data highlighting the most popular TV shows and movies on Netflix in August.
Hapo ninachotaka kusema ni kwamba, unaweza kuwa na mashaka na analytics za FlixPatrol lakini kaa ukifahamu hata Hollywood Industrial Insiders, huwa wanaitumia Flixpatrol kama reference!

But hey, I know kwamba ku-top NetFlix haina maana ni movie kali... we've these arguments for years now huku case study ikiwa YouTube lakini industrial insiders wenyewe huwa hawapuuzi hizi takwimu!!

Ila ngoja nikuambie binamu... miaka kadhaa iliyopita nakumbuka ulizungumzia suala la uandishi wa script; tena nilitaka kukuunga mkono!!

Kama nipo sahihi, sio kwamba upo kwenye tasnia in one way or another? Kama jibu ni ndiyo, basi ulitakiwa ufurahie sana Slay kufanya vizuri hususani TANZANIA bila kujali hayo mengine!

Unajua kwanini?!

Kama Slay ingeangaliwa sana Tanzania, kesho na kesho kutwa hata wewe ukitengeneza filamu, NetFlix wangeweza kuinunua kwa pesa ndefu bila tatizo coz' wangefahamu Tanzania kuna audience kubwa kwa filamu "zao (za TZ)"!

Hawa Wanaija sio kwamba wanaweza saaana ndo maana filamu zao zipo Netflix bali NetFlix wanafahamu ukiweka Nigerian Movie, Nigerians kutoka sehemu mbalimbali duniani wanachangamkia kuiangalia!
 
 
Idris hana kosa lolote lile na atapasua tu hii Covid imemchelewesha kidogo.
 
Wakijibu nitag
TANMO Netflix ni kampuni ya usambazaji na utengenezaji wa filamu na show za TV (Series) ya marekani, mwanzoni miaka ya 97 ilianza kama kampuni ya kukodisha filamu kwa mfumo wa kutuma DVD posta ila walibadilika na kufuata upepo unavyoenda kuelekea mtandaoni, kwasasa huduma za movie na series zinapatikana kwa kujiunga vifurushi kwa mwezi na ukishajiunga ni kama king'amuzi unatazama content zote ambazo zinapatikana tofauti na king'amuzi ni kuwa netflix inapatikana kupitia internet streaming kama YouTube na sio satellite hizi za madishi au Antenna. Vifurushi vinainzia dola $8.99 kwa Basic plan, $13.99 kwa Standard, na $17.99 kwa Premium. Utofauti wa vifurushi unatofautiana kutokana na ultra HD content na mnaweza kuangalia watu wangapi kwa wakati mmoja kwenye account moja huku ukitumia vifaa tofauti tofauti kama mmoja atumie tablet kuangalia movie mwingine atumie laptop kuangalia series na mwingine atumie smart tv kuangalia movie nyingine kupitia kifurushi hicho hicho kimoja, mbadala wa netflix ni kama Amazon prime ya Amazon na Showmax ya Multi choice yenye DSTV na GoTv pia.
 
Hivi huyu Idris ile 5ooM alifanyiaga nn? Bora ange invest kwenye business ila sio maigizo mweeeh.
 

Unataka kuniambia hawakuona hayo yote before??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…