Ila binamu pamoja na povu lote hilo hivi una habari kabla haijaondolewa ilikuwa inafanya vizuri sana?
According
Flixpatrol, kabla haijaondolewa Slay ilikuwa ina-top Nigeria na South Africa, huku ikishika namba 5 Jamaica!!
View attachment 1770575
Sina hakika kama unaifahamu Flixpatrol na hivyo unaweza kuwa na uhalali wa ku-question data zake!
Kama huifahamu, na kama ni mfuatiliaji wa burudani duniani, hususani filamu kutoka Hollywood, basi bila shaka utakuwa unawafahamu Variety... moja ya majarida makubwa kabisa (industrial magazines) in Hollywood!
The Variety wanaandika:-
Hapo ninachotaka kusema ni kwamba, unaweza kuwa na mashaka na analytics za FlixPatrol lakini kaa ukifahamu hata Hollywood Industrial Insiders, huwa wanaitumia Flixpatrol kama reference!
But hey, I know kwamba ku-top NetFlix haina maana ni movie kali... we've these arguments for years now huku case study ikiwa YouTube lakini industrial insiders wenyewe huwa hawapuuzi hizi takwimu!!
Ila ngoja nikuambie binamu... miaka kadhaa iliyopita nakumbuka ulizungumzia suala la uandishi wa script; tena nilitaka kukuunga mkono!!
Kama nipo sahihi, sio kwamba upo kwenye tasnia in one way or another? Kama jibu ni ndiyo, basi ulitakiwa ufurahie sana Slay kufanya vizuri hususani TANZANIA bila kujali hayo mengine!
Unajua kwanini?! Kama Slay ingeangaliwa sana Tanzania, kesho na kesho kutwa hata wewe ukitengeneza filamu, NetFlix wangeweza kuinunua kwa pesa ndefu bila tatizo coz' wangefahamu Tanzania kuna audience kubwa kwa filamu "zao (za TZ)"!
Hawa Wanaija sio kwamba wanaweza saaana ndo maana filamu zao zipo Netflix bali NetFlix wanafahamu ukiweka Nigerian Movie, Nigerians kutoka sehemu mbalimbali duniani wanachangamkia kuiangalia!