Binamu bhana... si nimeshasema hilo haliwezi kuwa kosa la Waigizaji bali ni la Director and/or Producer! Mwigizaji kwake ni location, na hayo mambo ya hatimiliki yeye wala hayamhusu!!
Binamu bhana... si nimeshasema hilo haliwezi kuwa kosa la Waigizaji bali ni la Director and/or Producer! Mwigizaji kwake ni location, na hayo mambo ya hatimiliki yeye wala hayamhusu!!
Kutokuwepo ni tatizo dogo sana... kama Netflix wanaonahiyo movie ina potential, mwenye movie yake anaweza ku-clear tatizo na anayelalamika kutumika wimbo wake, na wasipoafikiana, mzigo unaweza kurudishwa tena kwa editor na kuondoa hiyo soundtrack, na hatimae kuirudisha filamu NetFlix!
Itakuwa tatizo endapo mwenye wimbo wake anaenda mahakamani manake hadi kumaliza legal battles, inaweza kuchukua muda!!