Binamu bhana... si nimeshasema hilo haliwezi kuwa kosa la Waigizaji bali ni la Director and/or Producer! Mwigizaji kwake ni location, na hayo mambo ya hatimiliki yeye wala hayamhusu!!Unataka kuniambia hawakuona hayo yote before??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu bhana... si nimeshasema hilo haliwezi kuwa kosa la Waigizaji bali ni la Director and/or Producer! Mwigizaji kwake ni location, na hayo mambo ya hatimiliki yeye wala hayamhusu!!Unataka kuniambia hawakuona hayo yote before??
Binamu bhana... si nimeshasema hilo haliwezi kuwa kosa la Waigizaji bali ni la Director and/or Producer! Mwigizaji kwake ni location, na hayo mambo ya hatimiliki yeye wala hayamhusu!!
Kutokuwepo ni tatizo dogo sana... kama Netflix wanaonahiyo movie ina potential, mwenye movie yake anaweza ku-clear tatizo na anayelalamika kutumika wimbo wake, na wasipoafikiana, mzigo unaweza kurudishwa tena kwa editor na kuondoa hiyo soundtrack, na hatimae kuirudisha filamu NetFlix!Sijasema yanamhusu Lakini, anyways movie haipo Netflix Anymore too sad...