Movie Mpya ya Idris Sultan yaondolewa Netflix

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ki ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe

Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram
 
Hahahah we umejuaje wameitoa
 
Umendika kwa chuki kuu tena za kinafsi, pole Idrissa umejitahidi kadri ya uwezo wako maisha ndivyo yalivyo
 
Ki ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe

Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram
Kwani Idris mwenyewe anasemaje?
 
Back
Top Bottom