Movie Reviews

Hahaha!!..wanasumbua sana mure!.Hia nikiiangalia naikumbuka Ringo tu![emoji23]
Hahahah Kuna yule mwanasayansi walimwekea Sumaku shingoni akawa anafukuzwa na ile Flying Saucer inakata shingo.
Daaaah nikikumbuka huwa nachekaga sana yani, Script za mle ndani ni za kijinga kama lile lidemu lirusi ....!
 
True na hicho ndio nilichokiona kwenye Walking Dead baada ya season 6 unaona kabisa hakuna jipya!!..
Inafika kipindi wanaangalia hela tu halafu wanakuwa hawana cha Maana.
Nilikuwa nafuatilia sana The Supernatural lakini baada ya Season 5 nikaona wanalazimisha nao.
 
Duh!!..Hawa jamaa wanatisha
 
Inafika kipindi wanaangalia hela tu halafu wanakuwa hawana cha Maana.
Nilikuwa nafuatilia sana The Supernatural lakini baada ya Season 5 nikaona wanalazimisha nao.
Game of Throne kuna mtu huwa ananilazimisha kuifatilia lkini sijawahi kuwa interested nayo kabisa!!..
 

Hahahahahahahha!
Kwenye Dead Man Tells no Tales kuna Sehemu Salazar alituma Ujumbe kwa Sparrow akasema Deah Will Go Straight To him. Halafu likasem "Please:" Nilikuwa sina mbavu, japo mimi nilizipenda Pirates of the Caribbean zile mbili za mwanzo lakini hii sehemu tu ndiyo ilinivunja mbavu....!
 
District 9 si ile ya Paul walker!?..
Hawa Transformer kuna ile ya Tokyo wameikosea sana huoni uhalisia wa gari kutransform toka particles vile!.
Kumbe na wewe umeiona eeh ??
Yaani kwanza mimi nadhani wangemrudisha tu Shia Labeouf.
Zile mbili za mwanzo hasahasa Revenge of the Fallen ndiyo zilikuwa moto.
Ukiangalia hata aliyeeandika Script unajua kabisa alikuwa kichwa....Kuanzia ya tatu walipuyanga sana!
 
Kati ya Wote naona Salazar ndio alimbananisha Sparrow!!
 
Game of Throne kuna mtu huwa ananilazimisha kuifatilia lkini sijawahi kuwa interested nayo kabisa!!..

Game of Thrones iko poa sana kwasababu haitabiriki na huwezi kujua nani kesho atakufa.
Mimi nakumbuka inapoanza kabisa niliangalia Episode ya kwanza lakini sikuipenda lakini mwaka majuzi nililazimishwa niiangalia nikasema ngoja njaribu nikakuta imekaa poa sana sanaaa. Jaribu kuingalia utaipenda sana.!
 
Yeah wangemrudisha tu, Ukiangalia unaona kabisa Mark wahliberg hazitendei haki. Ila hii Dark knight kuna kale servant robot naona kapo moto!!..Kadogo lakini kaliweza mkunja Bugatti.
 

Terminator 2 hii movie tamu sana [emoji2][emoji2]
 
Mtindo huo naikumbuka series ya Traveller iliyokosa budget nao walikuwa poa sana!!..
Nitaaanza nayo aseh!..Halafu umezifatilia Black Mirror series!?.
 
Mtindo huo naikumbuka series ya Traveller iliyokosa budget nao walikuwa poa sana!!..
Nitaaanza nayo aseh!..Halafu umezifatilia Black Mirror series!?.
Duuu Mkuu umeicheki hadi Traveller ?? wewe noma sana!
Nakumbuka lilikuwa bonge la Series yaani...Sijui kama lingeendelea lingefika wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…