Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
Nani kaona District 9, Ila Transformer zipo poa pia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah Kuna yule mwanasayansi walimwekea Sumaku shingoni akawa anafukuzwa na ile Flying Saucer inakata shingo.Hahaha!!..wanasumbua sana mure!.Hia nikiiangalia naikumbuka Ringo tu![emoji23]
Inafika kipindi wanaangalia hela tu halafu wanakuwa hawana cha Maana.True na hicho ndio nilichokiona kwenye Walking Dead baada ya season 6 unaona kabisa hakuna jipya!!..
Duh!!..Hawa jamaa wanatishaHahahaha SAW nimeshindwa kabisa kuingalia mazee,
Kuna jamaa yangu alikuwa na Blue Ray Disc Original sasa hadi kwenye kasha lake pale nje kulikuwa na ile alama ya Jig-Saw imevimba kwa juu halafu ndani yake kuna damu sijui...Ukitikisa kava, damu nayo inatikisika kabisa. Hivi imagine si Ushetani ule mazeee ???
District 9 si ile ya Paul walker!?..Nani kaona District 9, Ila Transformer zipo poa pia...
Game of Throne kuna mtu huwa ananilazimisha kuifatilia lkini sijawahi kuwa interested nayo kabisa!!..Inafika kipindi wanaangalia hela tu halafu wanakuwa hawana cha Maana.
Nilikuwa nafuatilia sana The Supernatural lakini baada ya Season 5 nikaona wanalazimisha nao.
Hahaa!!...Ndiye jamaa mwenyewe, kampatia sana!..
Nilisoma sehemu wakati John Depp anaanza kuigiza Captain Sparrow directors walitaka kumchomoa kuziigiza waliona mbona haeleweki na anaigiza wasivyotaka!..Jamaa akawakazia wamuache aigize anavyopenda kilichofata sasa Captain Sparrow anajina zaidi ya Movie zake [emoji23]
Kumbe na wewe umeiona eeh ??District 9 si ile ya Paul walker!?..
Hawa Transformer kuna ile ya Tokyo wameikosea sana huoni uhalisia wa gari kutransform toka particles vile!.
Hahahahahahahha!
Kwenye Dead Man Tells no Tales kuna Sehemu Salazar alituma Ujumbe kwa Sparrow akasema Deah Will Go Straight To him. Halafu likasem "Please:" Nilikuwa sina mbavu, japo mimi nilizipenda Pirates of the Caribbean zile mbili za mwanzo lakini hii sehemu tu ndiyo ilinivunja mbavu....!
Game of Throne kuna mtu huwa ananilazimisha kuifatilia lkini sijawahi kuwa interested nayo kabisa!!..
Sanaaa, sanaaa!Kati ya Wote naona Salazar ndio alimbananisha Sparrow!!
Yeah wangemrudisha tu, Ukiangalia unaona kabisa Mark wahliberg hazitendei haki. Ila hii Dark knight kuna kale servant robot naona kapo moto!!..Kadogo lakini kaliweza mkunja Bugatti.Kumbe na wewe umeiona eeh ??
Yaani kwanza mimi nadhani wangemrudisha tu Shia Labeouf.
Zile mbili za mwanzo hasahasa Revenge of the Fallen ndiyo zilikuwa moto.
Ukiangalia hata aliyeeandika Script unajua kabisa alikuwa kichwa....Kuanzia ya tatu walipuyanga sana!
Movie za Sci-Fi nazozikubali ni nyingi sana sanaa sampuli chache ni hizi:
1.Batman:The Dark Knight (Joker tu ndiye ananiua)
2.Terminator 2: Judgement Day
3.Total Recall (Colin Farrel)
4. Pitch Black: Chronicles of Riddick
5. Star Wars- Revenge of the Sith
6. Equillibrium
Mtindo huo naikumbuka series ya Traveller iliyokosa budget nao walikuwa poa sana!!..Game of Thrones iko poa sana kwasababu haitabiriki na huwezi kujua nani kesho atakufa.
Mimi nakumbuka inapoanza kabisa niliangalia Episode ya kwanza lakini sikuipenda lakini mwaka majuzi nililazimishwa niiangalia nikasema ngoja njaribu nikakuta imekaa poa sana sanaaa. Jaribu kuingalia utaipenda sana.!
Haahaha noma sana, hakuna kupumzika mwanzo mwisho.Terminator 2 hii movie tamu sana [emoji2][emoji2]
Ila me niliipenda Terminator 3 ya yule mwanamke eti naona ndio ina action zaidi!!..Terminator 2 hii movie tamu sana [emoji2][emoji2]
Duuu Mkuu umeicheki hadi Traveller ?? wewe noma sana!Mtindo huo naikumbuka series ya Traveller iliyokosa budget nao walikuwa poa sana!!..
Nitaaanza nayo aseh!..Halafu umezifatilia Black Mirror series!?.
Ifatilie na LIFE mkuu hutajutia!.annihilation nice movie