Movie Reviews

hii Series iko poa sana. nilianza kucheki season za kwanza kwanza. nilipoona nachoka kusubiri nikadownload vitabu vyake. toka hapo sijaifuatilia tena. nasubiria kitabu cha sita tu. Ila jamaa wanajua
 
hii Series iko poa sana. nilianza kucheki season za kwanza kwanza. nilipoona nachoka kusubiri nikadownload vitabu vyake. toka hapo sijaifuatilia tena. nasubiria kitabu cha sita tu. Ila jamaa wanajua
Wako fresh sana sanaa.
 
hapo nimeona I kill the giant.....cjaipenda kama ni Star ningeipa 1 star.....Ilo Giant halionekani ila mwisho....Labda kwasabab stelingi ni katoto kakike...Inafaa labda kwaajili eya WATOTO.....
Hii ni movie ya kisaikolojia. kwamba mtoto amecreate giants kwenye mind yake ili kukabiliana na ugonjwa wa mama yake mpenzi. ila hata mimi sikuipenda.
 
Hiyo bright critics waliiponda sana ila watazamaji waliikubali balaa. Watu wanasema ilipondwa kwasababu ilitoka Netflix na si Hollywood so critics walikuwa biased. Mi niliipenda sana hiyo movie. ila ishu za racism ziko deep sana.
 
The Martian, pia kuna John carter of Mars. huyu john carter alitoka duniani na kwenda sayari ya Mars. sasa sayari ya Mars ni ndogo kuliko dunia hivyo ina gravitational force ndogo. Badi john alivyofika Mars alikuwa kama superhero sababu alikuwa anaweza kuiovercome ile gravitational force ya Mars kirahisi sana.
 
Prometheus nzuri sana. Ilinifanya nifikirie pengine tunayemwita Mungu ni race ya watu wenye akili ambao wametuumba kama sisi tunavyoumba magari na computer?.
 
Hii limecheza li-Tom Hardy kama Bane..!
Nimechanganya na The dark knight. hivi the dark knight rises si ndiyo Bale alikuwa muoga wa popo baada ya kutumbukia kwenye pango la popo utotoni? Eti li-Tom Hardy!! hahahahaa
 
John Carter...umenikumbusha kitu fulani....Hivi alifake kifo Chake kuna mtu alikuwa anamfatilia au ilikuwaje nikumbushe kidogo.

Na pia ile ya Jaguar Paw ( Ronadinyo) pale mwishoni tafsiri yake hasa nini !
 
Nimepitia hii list ikabidi niitafute Pitch Black. Nimeitazama lakini imekuwa chini ya matarajio yangu. Haikuwa nzuri saana.
 
John Carter...umenikumbusha kitu fulani....Hivi alifake kifo Chake kuna mtu alikuwa anamfatilia au ilikuwaje nikumbushe kidogo.

Na pia ile ya Jaguar Paw ( Ronadinyo) pale mwishoni tafsiri yake hasa nini !
Dinyo Pale mwishoni ni meli za wazungu zinaanza kuingia America. mke wake anasema wazifuate ila yeye aligoma. John nahisi alifeki kifo ili arudi zake Mars kwa mpezi wake, nimesahau kidogo.
 
Hii ni katuni?..Maana the Martian nayoifahamu ni ile ya Matt Damon walienda kusurvey akabaki mwenyewe Mars ikabd aanze hadi kilimo ili aweze kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…