Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
hii Series iko poa sana. nilianza kucheki season za kwanza kwanza. nilipoona nachoka kusubiri nikadownload vitabu vyake. toka hapo sijaifuatilia tena. nasubiria kitabu cha sita tu. Ila jamaa wanajuaGame of Thrones iko poa sana kwasababu haitabiriki na huwezi kujua nani kesho atakufa.
Mimi nakumbuka inapoanza kabisa niliangalia Episode ya kwanza lakini sikuipenda lakini mwaka majuzi nililazimishwa niiangalia nikasema ngoja njaribu nikakuta imekaa poa sana sanaaa. Jaribu kuingalia utaipenda sana.!