James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Huwa naelewa list zako sana, mi ni mpenzi wa good movie...mkuu hebu weka na nyingine za dizaini hiyo ambazo sijazioorodhesha hapo
Ongeza Atomic blonde na
Unlocked 2018
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa naelewa list zako sana, mi ni mpenzi wa good movie...mkuu hebu weka na nyingine za dizaini hiyo ambazo sijazioorodhesha hapo
Niliichekigi ile ya kwanza. ila sikuilewa sana. Ngoja ntacheki hii jya pili ikiwa safi.Naona Pacific Rim 2 imetoka naisubiri clean niinyonye!!..
Hiyo John Carter bado basi!!... Ngoja niingilie library hiyo!The Martian ndiyo hiyohiyo ya Damon. Maelezo ni ya John carter of Mars.
Atomic Blonde. yule sista Charize Theron anajua sana. Halafu kumbe ni msauzi?Huwa naelewa list zako sana, mi ni mpenzi wa good movie...
Ongeza Atomic blonde na
Unlocked 2018
Hahaa humo ndani huwa nacheka alivyoambiwa anaenda battlefield kumbe jamaa huwa porojo tu lakini hajui A-Z ya uwanja wa vita!...Tom Cruise ana taste yake hivi ya kipekee!!..kama kwenye Jack Reacher na Mission Impossible!Edge of Tommorow ya Tom cruise.
mi sijaicheki hii mkuu. Sababu umeimention ntaitafuta.casanova69, James Comey,mi Red Giant, Malcom Lumumba Avatar mok, Demiss hivi mmeziangalia SEX IS ZERO 1&2 ingawa sio Sci-fi!..
Hutazijutia ni Adult comedy wanachekesha sana humo!!..mi sijaicheki hii mkuu. Sababu umeimention ntaitafuta.
Mkuu bado...ila Mimi si sci-fi tu huwa nacheki all the good movies...casanova69, James Comey, Red Giant, Malcom Lumumba Avatar mok, Demiss hivi mmeziangalia SEX IS ZERO 1&2 ingawa sio Sci-fi!..
Mkuu bado...ila Mimi si sci-fi tu huwa nacheki all the good movies...
Wale gods wa Mars walikuwa wanamsaka.Dinyo Pale mwishoni ni meli za wazungu zinaanza kuingia America. mke wake anasema wazifuate ila yeye aligoma. John nahisi alifeki kifo ili arudi zake Mars kwa mpezi wake, nimesahau kidogo.
Pitch Black 2 hujaipenda ??Nimepitia hii list ikabidi niitafute Pitch Black. Nimeitazama lakini imekuwa chini ya matarajio yangu. Haikuwa nzuri saana.
hahaa sex is zero si wale jamaa sijui ni wakorea, wajapani au?casanova69, James Comey, Red Giant, Malcom Lumumba Avatar mok, Demiss hivi mmeziangalia SEX IS ZERO 1&2 ingawa sio Sci-fi!..
afu megatron afagi maana kila movie anakuwa defeated.Transformer zimetulia sana!..hua naipenda Revenge of the moon zaidi!..
Hapana jana nimeeangalia 47 Agent( HIT MAN)casanova69, James Comey, Red Giant, Malcom Lumumba Avatar mok, Demiss hivi mmeziangalia SEX IS ZERO 1&2 ingawa sio Sci-fi!..
Ndo hivyo mkuu...hazikufikirishi zaidi zinakudumaza tu.Ni nzuri ila hazina reality yaani hazishawishi, kuanzia marvel comics pote labda black panther tu ila nyingine naona kama za kudanganya watoto mf Captain america winter soldier
Kuna ile Captain america winter soldier na civil war inafanana na cartoon, mi siwezi angalia cartoon aseee.Ndo hivyo mkuu...hazikufikirishi zaidi zinakudumaza tu.