Mkuu ichukue angalia umekosa comedy tamu sana!!..[emoji2]Niliioana tu kwenye PC ya mtu lakini sikuicheki
hahh!!..Hunters wanaleta uwanja wao duniani ety Game!..AVP nimeicheki bwana, yaani Hunters na ujanja wotee walikalishwa.
Huwa nina utaratibu wa kupitia movie list zinazowekwa humu. Ntakupa mrejesho wa hii list nimeshaona half of them.1. World War Z
2. Hell Boy: The Golden Army
3. Inception
4. The Fifth Element
5. Ghost in a shell
6. I am a Legend
7. X-Men: Wolverine
8. X-Men: Days of the Future past
9. I- Robbot
10. Jumper
Hivi ile ya sound of music ktk uzi ule mwingine ilikuwa ktk list yako ?ndio maana nimewaambia mzi categorize wenyewe michayo ma fiction ya kisayansi hayapandi
Dah!..namba 4 movie ya kitambo sanaa umenikumbusha!!..Bruce willis hapo bdo kijana tu!!.. Hizo X-men kuna ile copy yake ya wajapan ilikua inaitwa SHINOBU yenyewe!.. Its way back enzi za series ya The Scrow ya Michael Dudikoff nazani!..1. World War Z
2. Hell Boy: The Golden Army
3. Inception
4. The Fifth Element
5. Ghost in a shell
6. I am a Legend
7. X-Men: Wolverine
8. X-Men: Days of the Future past
9. I- Robbot
10. Jumper
Sanaa Lathan hapo nimetoka muangalia kwenye ile movie na Queen Latifah wanawake magangstar!..Kuna jamaa aliyekuwa anamsaidia ndio nilijua atabaki kati yao wote![emoji23]Ndo ile Dada anasema enemy of my enemy is my friend akaanza Ku befriend wale alliens
hapana mkuu ngoja pia nikaichek trela inaitwa sound of?Hivi ile ya sound of music ktk uzi ule mwingine ilikuwa ktk list yako ?
Sound of music...basi nimechanganya id kuna mtu alitoa list nzuri one of the movie ni hiyo sound of musichapana mkuu ngoja pia nikaichek trela inaitwa sound of?
Hebu fatilia na hizi!.Huwa nina utaratibu wa kupitia movie list zinazowekwa humu.
Nazipata amecheza yule maza wanamwitwa weaver jina la kwanza gumugumu.Achana na AVP kuna zile Alien zenyewe zipo 1-3 nazani wanachoelezea ilikuaje hadi Alien wakatokea!.. zinaigizwa kwenye mothership na bimdada flani ndio alikuwa anayawezea!..
Ngoja kesho niishushe.....!Mkuu ichukue angalia umekosa comedy tamu sana!!..[emoji2]
Ewaaaa.....Ndo ile Dada anasema enemy of my enemy is my friend akaanza Ku befriend wale alliens
Hahahaah ila mexenomorphs ni balaaaa.hahh!!..Hunters wanaleta uwanja wao duniani ety Game!..
Lucy naipenda sana.1. The League of Extraordinary Gentlemen
2. Mad Max: Fury Road
3. Cowboys VS Aliens
4. Independence Day
5. I am number four
6. Lucy
7. Oblivion
8. The Hunger Games
10. Avatar
9. Starship Troopers
10. Kong the skull island
Iko poa sana sanaa!Lucy naipenda sana.
Hiyo Lucy niliona kama uluminat flan Hivi pia niliifananisha kwa mbaki na limit less ta Bradley Copper.1. The League of Extraordinary Gentlemen
2. Mad Max: Fury Road
3. Cowboys VS Aliens
4. Independence Day
5. I am number four
6. Lucy
7. Oblivion
8. The Hunger Games
10. Avatar
9. Starship Troopers
10. Kong the skull island
Nafkiri hii no 10 ni kama transcendence ya Matt Damon sema ktk style ya tofauti. Shida inakuja pale ambapo yule ghost anavyohusika mwanzoni na mwishoni pale pia sikupata majibuHebu fatilia na hizi!.
1. Vice
2. Minority Report
3. Daybreakers
4. The Adjustment Bureau
5. In Time
6. Limitless
7. Source Code
8. Elysium
9. Divergent
10. Interstellar (hii hadi leo huwa siielewi)
11. Jupiter Ascending
Set it off...Sanaa Lathan hapo nimetoka muangalia kwenye ile movie na Queen Latifah wanawake magangstar!..Kuna jamaa aliyekuwa anamsaidia ndio nilijua atabaki kati yao wote![emoji23]