Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Hivi kwanini Thanos hakutaka muua Thor!?..Thor alijitahidi lakin bado alichemka... [emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini Thanos hakutaka muua Thor!?..Thor alijitahidi lakin bado alichemka... [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawkeye anaweza badilishwa kuwa Ronin ili abaki Avengers maana Villains wanaokuja hawezi survive na mishale tu!..Wale siyo kabisa, Ronin ndiyo yanamwogopa.
😀😀😀😀 ila na yeye si Jasusi kama Ramanova ???Hawkeye anaweza badilishwa kuwa Ronin ili abaki Avengers maana Villains wanaokuja hawezi survive na mishale tu!..
Thor ana dada yake ambaye ni moja kati ya Mademu ambao Thanos anawakubali 😀😀😀😀Hivi kwanini Thanos hakutaka muua Thor!?..
Hahah Vision sijui itakuaje labda watakapo reverse muda atarud na yeye!..😀😀😀😀 ila na yeye si Jasusi kama Ramanova ???
Hivi vision ndiyo harudi tena sasa ???
Duh!.. Me niljua dada ni Hera pekee kumbe wapo na wengine [emoji23]Thor ana dada yake ambaye ni moja kati ya Mademu ambao Thanos anawakubali 😀😀😀😀
Si ndiyo huyo huyo ambaye Thanos anampenda sana, yani kafa kaoza, hivi kama unakumbuka Easter Egg kwenye movie ya Ragnarok ??? Hera aliingia kwenye Vault ya Baba yake akakuta Gauntlet ya Thanos na akaipiga na kusema its fake....Unajua kwanini alisema its fake ???? Bwahahaha kwasababu they had a thing with Thanos na anamjua vizuri sana. Ile ni Easter Egg ambayo wengi wameipuuza sana lakini ina maaana.!Duh!.. Me niljua dada ni Hera pekee kumbe wapo na wengine [emoji23]
Hahaa.. anajua huyu ni shem ake tu!.. kweli Thor ana shida!.Si ndiyo huyo huyo ambaye Thanos anampenda sana, yani kafa kaoza, hivi kama unakumbuka Easter Egg kwenye movie ya Ragnarok ??? Hera aliingia kwenye Vault ya Baba yake akakuta Gauntlet ya Thanos na akaipiga na kusema its fake....Unajua kwanini alisema its fake ???? Bwahahaha kwasababu they had a thing with Thanos na anamjua vizuri sana. Ile ni Easter Egg ambayo wengi wameipuuza sana lakini ina maaana.!
Noma sana, Marvel is never boring!Hahaa.. anajua huyu ni shem ake tu!.. kweli Thor ana shida!.
Palantir wanamuongelea Thanos kwenye Agents of shield kwamba atavamia dunia nzima na kufanya uharibifu mkubwaHahaa.. anajua huyu ni shem ake tu!.. kweli Thor ana shida!.
Marvel is everything from series to movies!..Still people hate MCU... what the ****
Hahahh.. unajua Agents of Shield nimeishia season 4 ninayo season 5 but nilikuwa namalizia kwanza Da Vinci Demons niianze hiyo!.Palantir wanamuongelea Thanos kwenye Agents of shield kwamba atavamia dunia nzima na kufanya uharibifu mkubwa
wanazidi kuzikuza tu!!..Hii reboot itakuwa ya hatari sana!
Ila huyu Bee mbona kama kawa mdogo hivi ??wanazidi kuzikuza tu!!..