Movie Reviews

Movie Reviews

Sijaicheki infinity war. Hapa mnanitamanisha kichizi.
Hulk alipigwa na Thanos ngumi ya shingo hadi akasinyaa kimya. Bwaahahah, ikafika kipindi Dr Banner akitaka kumwachia Hulk anakataa kutoka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu hapo Thanos hajavaa Infinity Gauntlet....@palantir
 
Nilicheka sana, Hulk aliogopa balaa akaona ameingia siko.. iron man anamkejel hulk apigane na Ebony Maw
 
Daaaah live aisee ???
Kwanini walimkatalia umri au ??
Nadhani hawakuona kama ataweza ishi na brand ya Black Panther ukiangalia umri umeenda!. Kabla ya hapo hadi script alikuwa kapewa, ilikuwa ishu ya bajeti ya movie lakini ilipopatikana wakamtosa.
 
Hulk alipigwa na Thanos ngumi ya shingo hadi akasinyaa kimya. Bwaahahah, ikafika kipindi Dr Banner akitaka kumwachia Hulk anakataa kutoka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu hapo Thanos hajavaa Infinity Gauntlet....@palantir
[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya hapo anajitetea ety kachoka kumsaidia bruce banner. Tony kama kawaida yake "don't embarrase me infront of my magician!".
 
Nilicheka sana, Hulk aliogopa balaa akaona ameingia siko.. iron man anamkejel hulk apigane na Ebony Maw
Unakumbuka kwenye Ragnarok computer ya queenbee ilihitaji password toka kwa Strongest Avenger alive ambae ndio Hulk na kapigwa kizembe na Thanos akanywea wengine sijui itakuaje[emoji23]
 
Back
Top Bottom