Captain Marvel mwakani analetwa kwenye screen kwa movie yake na baadae ndio anakuja letwa kuungana na Avengers.
Spider man hawezi aga MCU sababu yeye ndio kiongozi wa kizazi kijacho cha superheroes lakini vile vile Thanos akiwa defeated na Captain Mar-vell na Doctor strange akaipata ile Infinity Gauntlet anaweza reverse Time kila kitu kikarudi kama kilivyo!. Ndio maana uliona Doctor strange alikuwa anaenda kwenye future kuangalia jinsi gani watamdefeat lakini akakuta kila moja Thanos anashinda na iliyobaki ni unless wampe anachotaka kwa kuja kumshinda baadae!.
Hiyo ya kuua nusu ya ulimwengu Thanos kafanya sana kwenye comics lakini ikawa inawezekana rudishwa!. Kuna wababe kama Beyonder, Adam warlock, The living tribunal, One above all, Molecule man wana nguvu zaidi ya ile Gauntlet.