Movie Reviews

Movie Reviews

Ndani ukutane na Deadpool, Groot, Venom na Loki [emoji23][emoji23]
Deadpool yuko funny sana, pale alikuwa anashoot huku anahesabu risasi nachekaga sana.

Teenage mutants turtle ninja huwa unazicheki?
 
Tuichukulie mfano LUCY mtu atakwambia movie halieleweki lakini kama ni mfatiriaji wa vitu utakuwa umepata idea wanaongelea binadamu tunatumia just 10% ya ubongo wetu!. Vitu ambavyo kwa kawaida tunaanza muona mtu genius akiweza tumia asilimia nyingi zaidi, tujiulize je akiweza tumia 100% ya ubongo itakuaje?...
Mtu wa kawaida anapoangalia STAR WARS au STAR TREKK atakwambia utoto lakini je kafatiria maendeleo yanayoendelea kuhusu warp engines!?...Hizi Hyperloop technology kwa miaka ijayo itakuja fanya tuone hizi movie za kitoto sana!..Pale each potray itakapokuwa imewezekana!.
Sure! One thing I have, ni I put myself into a movie and I found myself there. Uki follow the contents wallah utapenda kila movie duniani. Expect bongo movie, these guy should improve
 
Lucy
Ni kiboko sana, Yale mawazo ni extraordinary,
 
Deadpool yuko funny sana, pale alikuwa anashoot huku anahesabu risasi nachekaga sana.

Teenage mutants turtle ninja huwa unazicheki?
Deadpool alitakiwa apate adui kama wa batman na joker [emoji2]
Hizo Teenage comic zake hua sizielwi hivi.. but movie kamili zipo poa sana!!..
 
Sure! One thing I have, ni I put myself into a movie and I found myself there. Uki follow the contents wallah utapenda kila movie duniani. Expect bongo movie, these guy should improve
South Africa walijaribu na CHAPPIE lakini huwa naona lile robit linakuwa too much binadamu.
 
Ndani ukutane na Deadpool, Groot, Venom na Loki [emoji23][emoji23]
Weee ila Loki na Deadpool ni balaa.......
Kuna Comic moja Loki alimbadilisha Spider Man kuwa nguruwe........!
Halafu Asgardians wanakula sana Piggy sasa wakaanza kumfukuzia Peter Parker.......
Akawa analalamika kwamba yeye mtu majaa ndiyo yakafurahi yamekomaaaaa
 
Kama sikoseii ni comic hii, lakin MCU hawezi toa movie kufikia uku, spiderman kwa sasa ana iron spidey suit n balaa inampa speed na strength si mchezo...
Tusubirie infinity war tar 27
 
Deadpool alitakiwa apate adui kama wa batman na joker [emoji2]
Hizo Teenage comic zake hua sizielwi hivi.. but movie kamili zipo poa sana!!..
Wade wilson Deadpool na parker ndo villains walio fun, they got sensor of humor tena especially huyu deadpool n mwehu balaa na hio healing power aliyonayo dah namkubal sana
 
Kama kuna anaefaham chochote kuhusu series ya Shooter anipe updates wamefikia wapi mpaka sasa hivi. Nimeishia season 2 episode ya 8
 
Db9ZJQbU8AE2Udi.jpeg

Malcom Lumumba Deadpool amekuwa akimwandikia barua Tony Stark ajiunge na Avengers Tony akawa anazikataa, sasa huko mbele kuanzia Infinity War 2 tumtarajie na Deadpool kwenye Avengers maana Thanos kipigo alichotoa si mchezo!!..
 
View attachment 760837

Bwahahahahaha,
Hulk na ujeuri wote ule kakalishwa..
Teh teh teh thanos siyo wa mchezo mchezo......!
Marvel nzima hakuna Villain mbaya kama Thanos aisee!
 
hivi hizo Cloverfield,Annihilation & I kill giants ni kali??
 
Bwahahahahaha,
Hulk na ujeuri wote ule kakalishwa..
Teh teh teh thanos siyo wa mchezo mchezo......!
Marvel nzima hakuna Villain mbaya kama Thanos aisee!
Hahahahah
Thanos mwisho wa maelezo aseh!!.. Ubabe aliowaletea si mchezo!. Drax, Groot na Rocket Racoon kama kawaida yao na ujinga[emoji23].
Ila kuna sehemu nimesoma wanasema mbabe wa Thanos ni Captain Marvel.
Angalia mwishoni kabla Nick Fury hajapotea alikuwa anachat na Captain Marvel.
 
Kuna The Beyonder,
Thanosa aliwahi kutana naye akiwa amevaa zile infinity stones zake akazifyatua lakini jamaa hata hakutikisika. Thanos aliogopa kichizi..The Beyonder ni balaaa sanaa
 
Dah nlijua tanzaniahii tupo wawili tuu tunaofuatilia aina hizi za movie.
Katika avernger infinity war nmependa ile vurungu ya dr strange na thanos yaani kwa kifupi skuelewa elewa matriki alioyatumia thanos mpaka kuutoka uchawi wa dr strange.
Ila thanos ni most intelligent and powerfull bein in universe wanavyo dai.
 
Back
Top Bottom