Movie Reviews

Movie Reviews

Wakuu nisaidie links za kupakua hii mizigo, mnanipa msisimko tu mnavyo adisia ila link ya kwenda kuzipakua ndio mtian
 
Wakuu nisaidie links za kupakua hii mizigo, mnanipa msisimko tu mnavyo adisia ila link ya kwenda kuzipakua ndio mtian
Nenda jukwaa la Jf Store kuna mshikaji anaitwa Empty atakusaidia uzi wake unaitwa Download Kat Drama movie links (nimekosea kidogo)
 
Angalia hizi movie halafu karibu tuzidiscuss!. I love this kind of movies, they keep you thrill throughout!. Ukiwa na zenye Genre ya hivi ilete tuidiscuss!!..Kumbuka huwa hazina mwisho hizi movie.
Nazipenda hizo hatarrr
 
Aisee kama huangalii izo movie I'm sure you miss a lot of entertainments, too bad kuna knowledge inapatikana mule ni extraordinary! Things about movies ni Ku understand the story, I mean the contents, munakosa vilivyo vizuri sana.
Additionally, almost napenda aina zote za movie.
 
Hahahahaha,
Chukua tano mkuu....!
 
If you understand the contents , you'll be entertained, get the story in your head and you there.
Sci-fi is knowledge, zile ni idea usione wana film tu upuuzi, kuna Bonge moja la knowledge unapata pata, sio sababu ya kukimbia kuangalia sci fi movies eti kwasababu hujasoma au hupendi science. Mi sijasoma science but unapata concept on what wale jamaa wanafikiria, then wana weka zile idea in practical form.
Kinachowafanya watu wazikimbie sci fi, ni complication si wa bongo hatupendi kuumiza kichwa, but ukitaka upande entertainment, knowledge na kui challenge mind yako, sci fi ni noma. Hua najifunza mengi from movies rather than just entertainments. [HASHTAG]#thereisMore[/HASHTAG]
 
Tuichukulie mfano LUCY mtu atakwambia movie halieleweki lakini kama ni mfatiriaji wa vitu utakuwa umepata idea wanaongelea binadamu tunatumia just 10% ya ubongo wetu!. Vitu ambavyo kwa kawaida tunaanza muona mtu genius akiweza tumia asilimia nyingi zaidi, tujiulize je akiweza tumia 100% ya ubongo itakuaje?...
Mtu wa kawaida anapoangalia STAR WARS au STAR TREKK atakwambia utoto lakini je kafatiria maendeleo yanayoendelea kuhusu warp engines!?...Hizi Hyperloop technology kwa miaka ijayo itakuja fanya tuone hizi movie za kitoto sana!..Pale each potray itakapokuwa imewezekana!.
 
Hapana mkuu hiyo sijaiona lakini naitafuta kesho....
Kuna nyingine inaitwa THE TIME MACHINE jamaa alifiwa na mke sasa akatengeneza time machine ili arudi nyuma halafu amuokoe kabla hajafa, bahati mbaya mashine ilipata hililafu akajikuta kaenda future dunia imeharibika kweli.
Hii movie inakitabu chake kizuri sana. Movie na walijitahidi sana.
 
Back
Top Bottom