Movie Reviews

Movie Reviews

Hi machine ni hatari saana, sema mwisho na yeye walimchukua ina maana another player mwenye nguvu alikuwa ameingia.
Hata kama lakini huyu jamaa siyo kabisaa,
Maana kuna sehemu moja hivi alimdunga mtoto moja hivi sumu kumbe ndiyo anaitoa nje ifike kwa yule marine.
 
Naona kuna nyingine ilitakiwa toka sijui imekuaje haijatoka. Halafu washaona deal kututolea movie series angalia kama Maze runner na John Wick wanachotufanyia!
Lakini wameniudhi mpaka Leo nasubiria mwebdelezo wa Salt sijaona while they promised in 2018 ingetoka
 
"Off course you will Jonathan.......😀😀😀"
Zikaanza kuingia meseji, jamaa alichanja mbuga....yakimdata lazima yamle nyama!
Kiukweli Keanu Reaves reminds me of old Matt Damon ktk Greanzone Born Identity , ultimatum, Supremacy etc . Siku hizi anapotea au sujui anapotezwa hata simuelewi sana ktk Great wall, Downsizing, Subucorn naona zote kapoteana
 
The Bourne amecheza aisee!
 
Kuna hii series inaitwa The Event - Wikipedia hii series ni hatari saana, kama unapenda movie za intelligence na sci-fi hii ni kitu kingine huwez kujutia kuiangalia kuna conspiracy si za mchezo.. Nilisikitika baada ya kuwa kutokutoka season 2 yake.
 
Eeeh bwana inawezekana kabisa mkuu..Umeona mbali sana aisee!
Jana nilikuwa naangalia A MAN WHOO KNEW INFINITY dah ni bonge la historical movie!.. I hope umeiona!?.. Mhindi aliyegundua formula za kutambua black holes, halaf hakua kasoma saana ila hesabu zinamjia kichwani kwake kama anaoteshwa viree!!..
 
Lakini wameniudhi mpaka Leo nasubiria mwebdelezo wa Salt sijaona while they promised in 2018 ingetoka
Angelina nae kapotea anga za mtindo ule sana!!.. Niliona wanataka kuifanyia reboot TOMB RIDER.
 
Kuna hii series inaitwa The Event - Wikipedia hii series ni hatari saana, kama unapenda movie za intelligence na sci-fi hii ni kitu kingine huwez kujutia kuiangalia kuna conspiracy si za mchezo.. Nilisikitika baada ya kuwa kutokutoka season 2 yake.
Aaah hiyo si ya kukosa!... Hivi umezifatilia STAR TREK: DISCOVERY au THE GIFTED?
 
Kiukweli Keanu Reaves reminds me of old Matt Damon ktk Greanzone Born Identity , ultimatum, Supremacy etc . Siku hizi anapotea au sujui anapotezwa hata simuelewi sana ktk Great wall, Downsizing, Subucorn naona zote kapoteana
Nazani nilimuona kwenye tangazo la OCEAN'S 8 atakuwa na Bradd Pitt.. tutegemee action thriller!.
 
Jana nilikuwa naangalia A MAN WHOO KNEW INFINITY dah ni bonge la historical movie!.. I hope umeiona!?.. Mhindi aliyegundua formula za kutambua black holes, halaf hakua kasoma saana ila hesabu zinamjia kichwani kwake kama anaoteshwa viree!!..

Hapana mkuu hiyo sijaiona lakini naitafuta kesho....
Kuna nyingine inaitwa THE TIME MACHINE jamaa alifiwa na mke sasa akatengeneza time machine ili arudi nyuma halafu amuokoe kabla hajafa, bahati mbaya mashine ilipata hililafu akajikuta kaenda future dunia imeharibika kweli.
 
hiyo nitaitafuta aseh
 
Back
Top Bottom