Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Niliicheki ile ya kwanza kitambo.Yeah, imekaa vizuri sanaaa.....!
Hivi ulikuwa unaangalia Species ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliicheki ile ya kwanza kitambo.Yeah, imekaa vizuri sanaaa.....!
Hivi ulikuwa unaangalia Species ???
Ila hizi movie za muendelezo kama alivyosema Malcom huwa zinazingua sana tofauti na classics zake. Huwa wanacheza ni ile watu kupenda basi wa make pesa. Nilikuwa nacheki Maze runner death cure bado sijaimaliza maana ilinichosha kwa ubaya wake. Jurassic world sikuilewa sana labda hiyo sequel yake watatulia.Kuna Jurassic nyingine after Jurassic World nazani 2019 inatoka!!..stay ready
Zipo kama tatu hivi nzuri sana!Niliicheki ile ya kwanza kitambo.
Hivi unajua Hela ni demu wa Thanos ???Nilivyomuona Cate Blanchett kama kubwa la majamba nilijua tu itasimama, na kweli.
sikuwa na Info hizi, wakijoin force itakuwa balaa kubwa. Unashangaa movie unaanza kushabikia majamba!!!Hivi unajua Hela ni demu wa Thanos ???
Yaani Avengers Infinity War unaweza kukuta Cate Blanchett karudi.
Maana Thanos anatafuta zile Infinity Stones ili amfurahishe Hela kwa kufutilia nusu ya Universe.....Sasa Odin alimfungia Hela baada ya kuhisi kwamba wakiwa na Thanos wataleta madhara makubwa (This is per Comic Books)
Palantir
True yani mpaka unaona hakuna maana tena. Maze runner toka Scorch Trial nikaona tatizo!Ila hizi movie za muendelezo kama alivyosema Malcom huwa zinazingua sana tofauti na classics zake. Huwa wanacheza ni ile watu kupenda basi wa make pesa. Nilikuwa nacheki Maze runner death cure bado sijaimaliza maana ilinichosha kwa ubaya wake. Jurassic world sikuilewa sana labda hiyo sequel yake watatulia.
Hahah!!.. mkuu naona unamwaga mchele, ngoja na mie niendeleeHivi unajua Hela ni demu wa Thanos ???
Yaani Avengers Infinity War unaweza kukuta Cate Blanchett karudi.
Maana Thanos anatafuta zile Infinity Stones ili amfurahishe Hela kwa kufutilia nusu ya Universe.....Sasa Odin alimfungia Hela baada ya kuhisi kwamba wakiwa na Thanos wataleta madhara makubwa (This is per Comic Books)
Palantir
Marvel ni kubwa sanaa!!.. Captain America atatakiwa kufa halafu bucky barnes/winter soldier ndio awe Captain America (unakumbuka anavyoweza hold ile shield!)sikuwa na Info hizi, wakijoin force itakuwa balaa kubwa. Unashangaa movie unaanza kushabikia majamba!!!
Hahah!!.. mkuu naona unamwaga mchele, ngoja na mie niendelee
Hivi unajua Scarlet witch a.k.a Miranda Marxmoff ni mtoto wa Magneto yure wa X-men! (jiulize zile nguvu na kaka ake walizipata wapi?, na wanaitwa the enhanced bado Mutant world haijawa open kwenye avengers).
Halafu mke wa Black Panther ni Storm (harry barry) wa X-men!. Captain America na Iron Man watatakiwa wafe ili kuopen Multiverse: X-men / Avengers).
As per comic still!
Kama watafanya hivi basi watakuwa wamepiga bonge la hatua aisee.....!Marvel ni kubwa sanaa!!.. Captain America atatakiwa kufa halafu bucky barnes/winter soldier ndio awe Captain America (unakumbuka anavyoweza hold ile shield!)
Iron man anampenda na anamuandaa Spider man sababu Spider man ni the next leader wa kizazi cha super hero wajao!.
Yani jamaa wanajaribu kuileta MCU kwenye cinema lakini kwa akili za watu watashindwa kuielewa mapema inabidi waanze kuwaconnectia dots taratibu!.
Hahh tutafika tu, si umeona hii Avengers: infinity war alivyobadilika halafu na ile shield kamuachia Tony.Haahaaa hizi nilioana,
Kuna moja Storm aliwahi kuwachachafya sana Wakanda yote.
Halafu sasa Scarlett Witch ana undugu na Quick-Silver (Days of the Future Past) ambaye naye ni mtoto wa Magneto.
Steve Rogers akifa Captain America atakayekuja ni mwanamke aisee, japo sasa sijajua kama watamweka huyu mwanamke au James Rogers.......!.!..!...!
Yeah kuna sehemu nilisoma X men wa kwanza kuanza nae wanamfikiria Wolverine!. ingawa X-23 (yure dogo) nae wanaenda mpa movie yake!.Kama watafanya hivi basi watakuwa wamepiga bonge la hatua aisee.....!
Maana kama X-Men watahusishwa basi watu kama Captain Sinister lazima tutawaona.
Maana anayepanga hii michezo yote michafu ni yeye na wakina Thanos hawajui kama wanachezewa...!
Hahh tutafika tu, si umeona hii Avengers: infinity war alivyobadilika halafu na ile shield kamuachia Tony.
Halafu nilikua kumbe Captain America alitengenezwa kuja pigana na Mutants!. Hydra ilikua sio first motive
Yeah kuna sehemu nilisoma X men wa kwanza kuanza nae wanamfikiria Wolverine!. ingawa X-23 (yure dogo) nae wanaenda mpa movie yake!.
Hahahh super soldier asiyechoka!.. Lakini yeye si alikuwa prototype tu, labda wangeendelea zalisha wengine wakali zaidi..Hahaha aiseee....!
Mbona balaa sana sasa, hivi kweli anagweza kupigana na wakina Magneto kweli ???
Yeah huyo huyo Laura!. Me naisubiri X-men: Dark phoenix nahisi itakua kali zaidi sio kwa zile!..Kale Ka-Laura ??
Ebwanaa, ila X-Men,Yeah huyo huyo Laura!. Me naisubiri X-men: Dark phoenix nahisi itakua kali zaidi sio kwa zile!..
Kama watafanya hivyo basi itakuwa ni hatari tupu.sikuwa na Info hizi, wakijoin force itakuwa balaa kubwa. Unashangaa movie unaanza kushabikia majamba!!!
X-men 2 na 3 ni hatare mkuu!.. Zipo poa sanaa!Ebwanaa, ila X-Men,
Wolverine, Days of the future past na X-2 ni hatarii sana